@aem_company_limited: hatimaye serikali umesikia kilio chenu watanzania #kalman #trendingtoday #newvideo #fypシ @@DJ AMOSI+255

AEM_company_organisation🧢
AEM_company_organisation🧢
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 04:07:27 GMT
259477
8913
121
90

Music

Download

Comments

teclaroman
black demon gongooo :
jesus Christ
2026-10-28 11:15:17
0
a_ga_ko_rembe
@a_ga_ko_rembe :
yan nashindwa nikomenti nini ila naishukulu serikari maadili ya watoto yatoke kwa wazaz na walim
2026-10-28 05:45:37
22
omar.abdallah68
Omar Abdallah :
duuu jamani ni watoto tu hao sasa tukikaa tuanaumiza kichwa et kisa wanafunzi tutafanya ya maana kweli?
2026-10-28 05:37:29
13
crkid2
C"R" KID✨🤍 :
Mungu awabariki kwa kuwaachia
2026-10-28 10:09:47
3
jujulove897
Mrs❤️🫶 :
mbona ni AI sasa sometimes apo chini pameandikwa contain AI generation
2026-10-28 08:36:47
5
koreta.japhet
Koreta Japhet :
polani san
2026-10-28 11:21:06
2
shufaarajabu49
shufaarajabu49 :
msirudie ten watoto wazuri kumbuken tu ya kwamba nyie ndo tegemezi wa taifa la kesho pia wazazi wanawategemea nyie polen sana
2026-10-28 13:04:39
1
user6644848176196
MWANTUM SAIDY :
aiiii
2026-10-28 10:33:21
1
fettycute705
Fetty Cute :
kwani walipelekwa nchi gani
2026-10-28 11:50:33
1
saimonalphonce913
civicus :
alah kwann Sasa hata kmoja hamna
2026-10-28 04:51:19
3
user8376778186945
B Essie :
Kama ni kweli Mungu awabariki
2026-10-28 11:23:44
1
user6210548515481
irumba jr :
wasameheni tu na ni watt jmn
2026-10-28 09:29:10
1
jeckapaskarjeckap
jescka Og :
wangefungwa tu😁😄
2026-10-28 08:03:05
3
bahatikasembe179
Namarck :
asanten nawao wamejifunza hawatarudia tena
2026-10-28 10:17:45
1
fed6u3
the clever swahili :
ai hiyooooooo😄😄
2026-10-28 07:38:06
2
rashidi.sefu6
RASHIDI SEFU :
tz,kazi,ipo😳
2026-10-28 08:13:46
1
user8901574665582
Agness john8901574665582 :
AI
2026-10-28 06:46:26
1
user6644848176196
MWANTUM SAIDY :
ai
2026-10-28 10:33:26
1
mamawayesu2
R :
duuhh
2026-10-28 06:46:42
1
sophia.joseph962
Sophia Joseph :
sio kweli hiyo ni AI inafikisha ujumbe c mbaya
2026-10-28 11:42:23
1
edinajaphet0
Din111 laQute. :
Alafu tuna ushungi kabisa
2026-10-28 07:38:10
2
estrajems
Ester james :
mungu amejibu maombi ya wadogozetu nilikua nawaza miaka 30 jaman
2026-10-28 10:05:53
1
shomy1360
Shomy1360 :
sasa kama unasema tiktok inapotosha na hizo namba za mitihani wamezipata wapi
2026-10-28 09:41:21
1
nicopeter27
nicopeter27 :
kiswahili kigumu sana hicho embu nyoosha maelezo watu wakuelewe
2026-10-28 08:29:01
1
fauziah38395
Fauziah Matoke🥰🥰 :
AI jmn acheni kushukuru
2026-10-28 05:53:11
2
To see more videos from user @aem_company_limited, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About