@majiradigital: Mwanamke atiwa mbaroni na kuzuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Jomvu baada ya kukataa mwanawe kufanya mtihani wa KPSEA baada ya kupewa nambari ya mtihani ya 666.
UFUNUO 13:18
Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesamu yake ni mia sita, sitini na sita.🙏🙏
2026-10-28 09:32:50
48
peaceegal💖💖 :
kila mtu ana uhuru wa kuongea mbona wamesukume sjapenda
2026-10-28 12:17:20
26
Fortu Patrick :
police
2026-10-28 12:57:12
0
lovee :
yaani wa mama cheki anavomsukuma mwenzie 🥺🥺🥺😔
2026-10-28 10:10:26
32
babuually :
kwaann asisikilizwe watu wanatumia nguvu kubwa kusukuma
2026-10-28 07:48:01
21
rashidi mwisongo :
uyo mtoto ndo kameenda kusema kutokan na wanachoamni yey na mam ake, mpaka namaliza fom4 mzazi wang hajui namb yang ya mtiani mpak ck ya matokeo.
2026-10-28 08:32:24
14
Nata maumba :
msimsukume jamn mngemsiliz kwanza alf mmuelekeze labda kunakitu anacho amin
2026-10-28 12:16:26
9
🐹🪶happie🤩 :
iv jmn si mumuache aseme
2026-10-28 08:07:27
18
Josephine Mbwambo🇹🇿 :
Mm mwenyewe wa kwangu hafanyi
2026-10-28 14:01:18
3
joë ty :
Haya mambo ya imani ni k2 kibaya xna
2026-10-28 10:36:34
7
officialRosemary :
hata ningekuwa mimi ningemkataza
2026-10-28 10:08:57
6
evaristo :
shida hapo mama ameshindwa kujua majira na wakati wa kutumika kwa namba hiyo
2026-10-28 08:22:25
7
Emanuely bless u my Lord 🙏 :
mtu na mtoto ake sio mbaya pia sio vibaya kukataa mtoto wake kufanya mtihani na namba hiyo mm binafsi siamini kua elimu ya kupandikizwa ni Kila kitu kwenye maisha uzur ni kumjua mungu tu..
2026-10-28 10:56:15
2
official H- :
Huyo askari kwann amsukume hivyo aisee kwann amdharirishe mwanamke mwenzie hvy hata kama Ana makosa 😭
2026-10-28 13:12:29
1
miss v :
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa
2026-10-28 11:58:12
0
Prisca Henry :
jaman kwanini mumsukume
2026-10-28 11:51:37
2
shantelaiden :
🤣🤣 uyu mama ni mimi kabisa
2026-10-28 11:47:11
0
user8722512466383 :
na Mimi mtoto wangu ana namba za fuso 777 asifanye mitihani ipo katika bibilia
2026-10-28 10:58:30
0
Shenye Mkingwa :
which country?
2026-10-28 11:05:21
2
helleni Dotto :
mbn mumempelek
2026-10-28 09:08:58
3
jackie TZ💦❤️ :
mtu asiseme ukwelii
2026-10-28 09:54:29
2
khaled/خالد🇪🇹 :
mmekosa kabisa namna ya kumueleweaha huyo mama.. hapo palikuwa hapahitaji hata powerbank
2026-10-28 09:57:44
2
the Gardner :
yuko sawa
2026-10-28 08:38:00
1
20 percent upendo🌹🧠 :
ni kweli kabisa
2026-10-28 08:14:53
1
To see more videos from user @majiradigital, please go to the Tikwm
homepage.