@professor_nkwela27: LINDA SANA MAISHA YAKO,LINDA SANA FAMILIA YAKO Ulimwengu TulioNao Leo Haujali Kuhusu Wema Wako bali Unajali Kuhusu Kipi Wanakipata Kutoka Kwako? Kama kuna Cha Thamani Kwako Basi Hangaiko Lao Ni Kukinyakua Ulichonacho Bila Kujali Kuhusu Wewe, Watakachojali Ni Mafanikio Yao #UfunuoWaNdani #MaarifaYaMaisha #ProfessorNkwela #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktikkenya🇰🇪
Hello professor ebu tuezee ikiwa unafanya kazi hospitali mgogwa akaletwa kumuingiza chumbani ukapata kafariki.ebu niambie hizo nguo ulizonazo inafaa kutupwa hao vipi
2026-10-28 10:07:37
1
lighty kessy :
ameni🙏🙏❤️❤️❤️
2026-10-28 06:54:41
1
AMO :
sahihi kabisa
2026-10-28 06:45:38
1
To see more videos from user @professor_nkwela27, please go to the Tikwm
homepage.