@dw_kiswahili: Oktoba 29, 2025 iligeuka kutoka siku ya uchaguzi hadi siku ya majeraha, vifo na maswali yasiyo na majibu. Mwaka mmoja baadaye, familia za wahanga bado zinasubiri ukweli na uwajibikaji. Je, uchunguzi uliofanyika umeleta haki? Au safari ya kutafuta majibu bado inaendelea? #DWTunavuma #vumakwakishindo #tanzaniatiktok #rights

DW Kiswahili
DW Kiswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 05:45:56 GMT
36174
2925
134
77

Music

Download

Comments

user376162469
Jacob Ezekiel692 :
SEREKALI WANAFIKILI SISI TUTASAHAU UWO UPUUZI WALIOUFANYA ILO LA 29 OCT TUTAHDITHIA WATOTO NA WAJUKUU ZETU WAJUE KIOICHO TOKEA
2026-10-28 06:37:32
73
mkakaa_
Mkakaa 😎 :
msigwa anakuja na ufafanuzi
2026-10-28 06:45:55
32
jackie.1_4
Jackline🌸 :
It’s so sad
2026-10-28 07:21:31
0
alvind21tz
Alvin D21® :
Kesho ni 29 OCT
2026-10-28 06:03:51
44
vaanamimi
Vee store🛍️ :
R.I.P Mashujaa wetu wa MO 29🥹
2026-10-28 06:50:45
39
itikalubinga7
MASTER :
R I P ma friends🥺
2026-10-28 08:05:17
0
lumumbapa
lumumba :
#UsisambazeTaharuki
2026-10-28 07:31:37
9
yshaklp3
ysha klp :
nachoka mm
2026-10-28 07:46:37
0
ruthlinaeliah240
Teejal🩵 :
rip 😔🙂‍↕️😭
2026-10-28 07:09:30
35
swaumu_manyama
Dark_skin_Girl :
Propaganda zenu zakutoa amani Tanzania na Africa tuna zijua acheni shobo na nchi yetu 🇹🇿 na bara letu la Africa
2026-10-28 07:36:43
14
magnificent_kinara
magnificent_kinara :
mbn mamb ya uko ujerumani hamuweki
2026-10-28 07:39:04
7
kp_kemar78
@kp😜_kemar78👑 :
Appreciate
2026-10-28 07:44:40
0
ulimbukenj
ulimbukenj :
Nyie hamtaki tukae na amani kabisa
2026-10-28 07:39:48
5
princetz686
princetz :
hii ni Tanzania hatujali uchochezi wenu, yaliyopita yameshapita tunajua njama zenu, sasa tunafocus na mbele.
2026-10-28 07:38:15
4
foxboy757
Koinn Black :
Ili mtu ale mshahara tu laki tisa🥺
2026-10-28 06:58:46
6
ahmadabdulimalik756
@malik756 :
Tanzania mpya 😢 inakuja na machozi na damu maana hakuna uongozi bali ni wauwaji
2026-10-28 06:49:47
11
king.jamal742
King Jamal :
Kila siku mnatupostia sheria haichukuliwi
2026-10-28 07:03:12
10
keche_cargo_transport
Keche Cargo Transport :
Allah alinde Amani ya Tanzania 🇹🇿 yetu Ameeeen.
2026-10-28 06:15:34
11
ulimbukenj
ulimbukenj :
Nyie hamtaki tukae na amani kabisa kazi kutukumbusha tu machungu
2026-10-28 07:41:46
5
shaky004
shaky :
mbona amuongelei Sudan kwenye mauwaji ya kimbali sasa uku kufa walitaka wenyewe akuna serikali inaitaji kudhiakiwa kwenye kupinduliwa
2026-10-28 07:24:11
1
bryna445
Zyra🖤🐞 :
Waendlee kupumzika kwa Amani
2026-10-28 08:22:57
1
alisalumsuleiman0
Ali salum :
Kwani wange kaa zao majumbani kwao bili kaharibu na kuiba mali za watu wangeuliwa nyny bwekeni lkn hakuna serekali inayo waachia wananchi wafanye wanavyo taka wao
2026-10-28 07:57:23
3
samzero797
samzero32 :
kesho tunafunga mwaka
2026-10-28 07:41:53
3
lumumbapa
lumumba :
nyie kupost Tanzania tyu ila kupost mambo ya congo ,Sudan mnashindwa
2026-10-28 07:31:34
4
evehblu3sea
wend wendera ❤️ :
mo 29 2026 usibaki ndan
2026-10-28 07:59:09
2
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About