@drgabriel15: Hedhi inakuja kila mwezi, mnafanya tendo la ndoa, lakini mimba haupati. Unaweza kujiuliza, “Kwani nini kimebadilika? Mbona zamani nilipata mtoto kirahisi?” Ukweli ni kwamba, kupata mtoto hapo nyuma hakumaanishi kuwa afya ya uzazi itaendelea kuwa ileile. Kuna changamoto zinazoweza kujitokeza baadaye. 1. Mirija ya uzazi kuziba:Kama ulipata maambukizi ya PID baada ya kujifungua, yanaweza kuacha makovu yanayoziba mirija na kuzuia mbegu kukutana na yai. 2. Mbegu za mume kuwa na changamoto: Ubora wa mbegu unaweza kubadilika. Zikiwa chache au hazisogei vizuri, zinaweza kushindwa kufikia yai. 3. Ubora wa yai na homoni:Kadiri umri unavyoongezeka, ubora wa mayai unaweza kupungua. Matatizo ya homoni yanaweza pia kuathiri kutoka kwa yai, huku matatizo ya utando wa mfuko wa uzazi yakiathiri kushikamana kwa mimba. 4. Maambukizi ya uzazi: PID inaweza kuharibu mirija ya uzazi. Fangasi wa kawaida si sababu ya moja kwa moja ya ugumba, lakini maambukizi mengine yanaweza kuathiri uwezo wa kushika mimba. Jambo la msingi: Kuwa na mtoto hapo nyuma hakumaanishi kwamba changamoto za uzazi haziwezi kutokea baadaye. Chanzo kinaweza kuwa kwa mwanamke, mwanaume, au wote wawili. Wasiliana nasi kupata huduma ya matibabu : Tuma neno UJAUZITO kupitia WhatsApp 0626015260

Gabriel
Gabriel
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 05:47:26 GMT
824
12
2
1

Music

Download

Comments

grce44840
Grâce :
nataka ujauzito,
2026-10-28 16:56:01
0
dr_logan2019
Dr. LOGAN :
✍🏿📌
2026-10-28 10:11:38
0
To see more videos from user @drgabriel15, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About