niache mm nachanganyikiwa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 13:19:07
0
Halima Nasoro bakar :
wallah maisha yndoa niufungwa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-28 11:24:29
0
Edith Mathius :
mbona mnanisema mim[Big LOL]
2026-10-28 13:52:41
1
merrry. ngowi :
nilijua. nikopekeyangu kumbetukowengi 😂😂😂😂😂
2026-10-28 12:24:53
2
Salome Swayi :
kweli,ndio maana tunapenda kukaa karibu na bodaboda
2026-10-28 09:59:03
6
user1776820079549 :
Bora umeniambia mapema nijiandae kisaikolojia 😔
2026-10-28 07:10:55
2
Salima wa mama/sarafinah💃 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio siri jamani kwan hv tuliolewa ili iweje sasa mweeee
2026-10-28 08:36:07
4
prisca ♥️♥️ :
kabisa alafu anatokea mtu anakupenda unamkataa jamani sijui huwa tumelogwa au ndoa ndo mchawi tunaingia bila kujua[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-28 06:28:26
2
Sakina yahaya :
Nachoka Mimi na Haya Mamboo
2026-10-28 07:31:17
1
pili omari :
mim mume wangu mpk nikivaa ananambia Kila siku unapendeza alaf unasema una ela