@fichua.hub: Roma Locuta; Causa Finita est.! #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #viralvideos

fichuahub
fichuahub
Open In TikTok:
Region: AU
Wednesday 28 October 2026 06:27:28 GMT
99388
5858
225
361

Music

Download

Comments

zumbe.zube
ZUMBE ZUBE :
ipo siku tutachoka kumwachia mungu😭😭😭
2026-10-28 08:07:46
92
ernestchegere
chege :
huyu ni padri real father, roman oyee
2026-10-28 08:08:30
94
josephmadebo
JOSEPH SALVATORY :
MUNGU ROHO MTAKATIFU AKUONGOZE
2026-10-28 07:46:17
59
fredomfigh
freedom :
free twaha mwaipaya 🚩
2026-10-28 10:01:54
1
levinagastoni
levinagastoni :
ukatoliki raha hakuna unafiki🥰🥰
2026-10-28 08:56:32
27
user47266941046922
user47266941046922 :
Mungu ni muweza wa yote!
2026-10-28 07:29:36
38
nestorymethew
nestory mm :
kwa ajili ya mateso makali ya Bwana wetu YESU KRISTU
2026-10-28 09:30:13
18
mshawishi
AD Adam :
Directly
2026-10-28 09:25:01
1
elizabethmjilima4
Elizabeth mjilima :
MUNGU tutunzie padre wetu asikutwe nalolote ikiwa atakutana nalolote basi uwe pamoja nae [Pray]
2026-10-28 10:29:27
8
kurumbua.mulha
Kurumbua Mulha :
wakati wa uncle magu ulikuwa wapi?😎😎😎😎
2026-10-28 08:46:34
3
_chafupozi.1
chafupozi20 :
Amani ya nchi ni muhimu. Kauli za kulaumu bila uthibitisho zinaweza kuivuruga.
2026-10-28 09:29:17
3
kawafrkawafr
rumaysa🧕 :
ubarikiwe kwa neno
2026-10-28 08:38:51
15
rose.charles569
bby Veeel :
acheni ugomvi sas apo mmewek hizo picha za nini
2026-10-28 09:33:55
3
msaf.tz1
msaf tz :
mngu akutangulie baba angu
2026-10-28 12:35:55
2
user9967355439971
disai peace :
Dini mnatuhofisha2 nakutuchelewesha kufanya maamuzi,Mungu alisha tupatia akili ya kujuwa mema na mabaya hapo alishamaliza kila ki2 kiliobaki niujinha wetu🙏
2026-10-28 08:13:10
7
christina.patrice91
Christina Patrice :
amina padri
2026-10-28 08:46:40
6
justardzelphine
mutajz :
Asante kwa mahubiri mazuri
2026-10-28 12:52:58
2
macky15maggie
macky15maggie :
cheo nicha Mda tuu
2026-10-28 08:28:17
12
canallengume
captain traore :
mungu awape hekima na uwezo wakusema ukwel
2026-10-28 06:37:01
9
mbaga.issa
Mbaga issa :
Mungu akuhifadhi mtumishi wa Mungu
2026-10-28 07:55:15
9
user029329590
salma :
amina
2026-10-28 11:49:37
1
sumano179
sumano :
kweli kaka
2026-10-28 11:56:41
1
b.l.s8701
B.L.S :
Daaaah Swala la muda2😭😭🙏
2026-10-28 11:46:00
2
jpmmm05
JHN MM🇹🇿 :
unajua sisi wengi wao watanzania bado atuelewi kama nchi yetu ipo kwenye ugumu wamtu mmoja ila ipaswe kusema kwamba ipo sku kama mambo yataendelea kua ivo wataelewa ote apo tu itakapo kuja kua waanze kuchagua mtu wao wanao mtaka wao hao waliopo pale kwenye kijiko afu sisi atuelewi sababu watafanya ivo sababu yakulinda masirai yao binafisi ndio wataelewa watanzania tuendelee kuangalia sababu Dunian nikama move tu Kisha giza liingia hutoona Tena kitu tumsifu yesu kristo 🤲
2026-10-28 11:43:46
1
user29762985002323
Fils de paradis :
Moyo ukichoka huwa unafanya maamuzi
2026-10-28 12:22:43
1
To see more videos from user @fichua.hub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About