ila hii duniaa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-28 17:44:53
0
Fanuely :
mimi sioi kimbaombao najijua[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 09:13:35
0
sumaiya❤️❤️ :
jmn nijifichie wap mm😅😅😅
2026-10-28 12:31:52
0
Mrs nchonaa :
nkanunue big booster
2026-10-28 13:24:49
0
lucy roby :
😳😳😳😳chanzo marioo na d voice
2026-10-28 08:35:49
36
minah :
Marioo na D voice ndo walioanzisha mpaka sasa me sina Amani natishiwa maisha
2026-10-28 08:59:27
112
zamwa6 :
vibonge tunaanza kupanda thamani
2026-10-28 08:38:29
51
Arsenal Store :
jmn jmn atatumaliza uyu baba [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-28 17:07:05
0
Prisca Mgunda :
Alikua hamwoni wakat anamuoa
2026-10-28 08:10:20
32
linahwiso :
😂😂😂😂 Bora Niko single
2026-10-28 15:25:50
0
Soso.tz :
Maisha yangu yapo hatarini🙆♀️
2026-10-28 12:45:37
15
nakshi nakshi :
inaonekana kafanya kila jitihada za kumnenepesha lakini imeshindikana na kashapata hasara akaona bora amalizane na hiyo biashara
2026-10-28 09:12:16
22
venny👑 :
me hata siwazi kabisa na niko mwembamba😂😂😂
2026-10-28 09:57:37
9
bib ayra🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿 :
mungu wangu sijui nifanya mim jamani nakufa siku yoyote 😂😂
2026-10-28 08:49:52
12
official mkwape :
mimi wangu kakimbia nimemkosa kosa na panga apaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-28 10:17:05
6
Zaynab💐 :
tuende wapi🤷 sasaa?🥹🥹🥹🥹🥹😂😂
2026-10-28 16:00:44
0
minah :
kumbe wanaume huwq inawauma kuona unamuhudumia mwanamke kwa kila kitu ila mwili unagoma, mi nilizani ni kwq mzazi tu maana ukiwa na mtoto unajalibu kumlisha kila kitu ila anenepi huwa inaleta hasila
2026-10-28 12:33:43
5
@linnshhaaly346 :
afande nimetishiwaa naombeni ulinzi🤣
2026-10-28 08:44:52
8
baby tee🥰♥️ :
maisha yang Yapo hatalini
2026-10-28 14:33:04
0
ALIZETI BOY🌻🌍 :
kwishaaa 😆😆😆😆
2026-10-28 13:59:23
1
nchambi-outfit :
kumbe maisha yangu yapo hatarini 🙆♀️🙆♀️
2026-10-28 17:33:07
2
Michael :
mm na wembamba nihivyi[Fingers crossed]
2026-10-28 12:22:34
3
magreth :
mimi ni wa kati sijui nipo salama au nipo hatarini
2026-10-28 15:32:11
0
Aisha perfume :
Nimekwisha😭😭
2026-10-28 09:23:20
1
Sophy Fashion Hub👗🛍️ :
Mmeanza kutuuwa😂😂💔
2026-10-28 11:06:00
3
To see more videos from user @mkjuniortz, please go to the Tikwm
homepage.