@proxmidia: Je, unajua Nike, Adidas, Puma na chapa nyingine maarufu za viatu zinatoka nchi gani? Katika video hii ya PROXMIDIA, tunakuletea orodha ya chapa maarufu za viatu duniani na nchi zilikoanzia. Jifunze kuhusu asili ya chapa kama Nike, Adidas, Puma, Reebok, New Balance, Mizuno, Converse, Vans, ASICS, FILA, Jordan, Timberland, Clarks, Hoka, On Running, Salomon na Skechers. Tazama hadi mwisho, kisha tuambie kwenye maoni ni chapa gani ya viatu unayoipenda zaidi! Usisahau ku-like, kushare na ku-subscribe PROXMIDIA kwa maudhui mengine ya kuvutia kwa Kiswahili. #Viatu #Nike #Adidas #Puma #PROXMIDIA #Maarifa viatu maarufu duniani, asili ya chapa za viatu, Nike inatoka nchi gani, Adidas inatoka nchi gani, Puma inatoka nchi gani, Reebok, New Balance, Mizuno, Converse, Vans, ASICS, FILA, Jordan shoes, Timberland, Clarks, Bata, Hoka, On Running, Salomon, Skechers, nchi zinazotengeneza viatu, historia ya chapa za viatu, maarifa kwa Kiswahili, PROXMIDIA

proxmidia
proxmidia
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 10:00:00 GMT
117505
2462
664
93

Music

Download

Comments

johdam.msindo
JOHDAM :
Hiyo hapooo
2026-10-28 17:44:50
153
venom31oh
venom31oh :
kobasi
2026-10-28 20:49:14
0
mapalonails
THE GOT🐐 :
majombo[Tears of joy]
2026-10-28 21:28:11
0
devbad96
DEVBAD✨$96 :
naumia sana Tanzania kwetu ni gambuti😭😭
2026-10-28 17:24:55
48
jacksonmabuga4
Jackson makelele :
yakobo
2026-10-28 16:55:58
25
davidolotu
david olotu :
safari boot
2026-10-28 21:05:10
0
emmanuelisafari9
Emma safar :
zinapatikana tanzania tuuuu
2026-10-28 19:29:53
20
alek_king
ALEK_KING :
cha chacha
2026-10-28 17:28:12
0
widdy.taita
widdy taita🎤🎸🎶 :
yeboyebo
2026-10-28 18:09:31
1
onevoice941
One Voice :
2026-10-28 20:18:52
7
lastborn22807
Lastborn22 :
air force
2026-10-28 18:01:56
1
user1166090706853
lv🫶ney :
kata mbuga
2026-10-28 21:33:01
2
malikmalipula
Malik Malipula :
Katambuga inatoka Tanzania
2026-10-28 23:45:04
1
user965044720998
FAZA MENGI ZO :
yeboyebo kisemvule
2026-10-28 14:48:16
9
salummohamed.87
salum mohamed salum :
katambuga (viatu vya mabaki ya tair ya gar)
2026-10-28 17:03:58
6
huruma.msigwa
msigwa daughter :
apojeeeee au haijakaa sawa
2026-10-28 17:26:48
6
everlynne67
Benard Blender y254 :
Globe
2026-10-28 20:12:33
1
zuwena.ayubu34
Zuwena Ayubu :
yebo yebo
2026-10-28 18:18:30
1
narrosmohammed
narrosmohammed :
MADE IN TANZANIA 😁
2026-10-28 19:11:10
5
blessmsafili
Bless Msafili@ :
kanda mbiri
2026-10-28 15:16:12
1
sannier202
sannier202 :
Ndola za gest umoja 😌
2026-10-28 21:52:14
0
pettyjitty0212
PettyJitty😋 :
katambuga tz
2026-10-28 15:12:36
1
1chris_man
𝑪𝒉𝒓𝒊𝒔𝒕𝒊𝒂𝒏 𝑨𝒎𝒂𝒏𝒊@ :
Sauver les voyoux😁
2026-10-28 20:28:16
1
madarakamabehe383
mkushi no 3 :
katabugA
2026-10-28 18:09:18
2
babalakitic
Nembo ya mtaa🫵 :
yebo
2026-10-28 18:19:48
3
To see more videos from user @proxmidia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About