@uhondo.tv: Mkazi wa Kisoko, Kata ya Luchelele, wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, Josephina Anthony, ameiomba Serikali na Jeshi la Polisi kuchukua hatua dhidi ya madereva wa bodaboda wanaoongeza milio mikubwa kwenye pikipiki zao. Akizungumza katika kampeni ya ‘Ongea na Kamanda wa Polisi’, Josephina amesema milio hiyo imekuwa ikiwastua wananchi, hasa nyakati za usiku, ambapo baadhi hudhani kuwa kuna milipuko au hatari nyingine. Amemuomba Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, kuingilia kati ili kukomesha kero hiyo na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa amani na utulivu. #UhondoTVUPDATES

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 06:56:49 GMT
29094
1315
46
76

Music

Download

Comments

official_jay270
jay :
mkali wa hizi kazi
2026-11-27 03:23:53
10
user9165335214775
Happy Kissa :
mama kaongea ukweli yaan wanakera kweli hasa tunaokaa karibu na barabara
2026-11-27 03:03:50
14
itsmede41
It’s_Mede🩷🌸🔐 :
Yani mm leo kidogo nizimie jamn🥹😹😹🙌🏽
2026-11-26 20:17:46
11
severinpascal
SpJs💪 :
bodaboda wengi wao hawana maadili
2026-11-26 20:22:25
7
mwasithassanimwas
Zala #@ :
Ila kwel
2026-11-27 02:02:16
3
ms.d2503
ms d :
bora bibi umetusaidia kufikisha ujumbe😂😂
2026-11-26 19:36:43
5
samson.lucas48
Samson Lucas :
ni kweli wanakera sana
2026-11-26 19:48:11
2
timmztraveller
timmztraveller :
For sure
2026-11-27 05:51:51
0
user44229700150808
collins :
kweli wanakera
2026-11-27 06:11:58
0
fredy.tz7
(fredy shop🧠)👨‍🦲👨‍🦲 :
wanapga stoper
2026-11-27 06:05:16
0
anjelamwaikuyu12
anjela mwaikuyu1234 :
kweli mama hata Mimi naogopa japo mi kijana
2026-11-23 18:34:46
6
bienfait.marcelo
B Marcelo official tz :
Kweli
2026-11-27 05:53:42
0
user5262954619517
aysher :
yaanii. wanakeraa mnoo
2026-11-27 05:50:29
0
user2998192873887
user2998192873887 :
Ni kweli ..wachukuliwe hatua
2026-11-27 05:44:51
0
magreth.jurius
magreth jurius :
kabisa mama
2026-11-27 05:29:14
0
venytz
edna abyud :
kabs
2026-11-27 05:45:03
0
david.yusuph
David Yusuph :
Eeh hii ni kwel kabisa exsozi wanazitoboa zinatoa milio mikali
2026-11-27 05:14:22
0
cashwiner37
cashwiner3 :
Bibi umesema jamni Asante
2026-11-26 19:48:36
0
cutevivian01
Miss Vee :
🤣
2026-11-26 23:38:49
0
sp.jumapongwe1
Broken boy 111 :
Aya jaman challenger vp ishatoka au?
2026-11-26 23:11:09
0
user6044543482424
shebe msangi :
nikweli jau sana
2026-11-27 04:47:53
0
pendo._mvungi
Pendo _mvungi :
kweli
2026-11-27 06:27:43
0
fettykitenge
Fetty kitenge770🧚‍♀️ :
Kweli mm sipendi😂
2026-11-26 23:43:05
0
ashura.kiwamba
EZZAH MITI :
Atamimi wananikela kumaukweli
2026-11-27 03:28:06
0
priscaswai54
Miss🦋Swai🍒 :
pupupuu
2026-11-26 21:19:08
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About