@millardayo_: Watayarishaji wa Muziki Nchini Tanzania, S2Kizzy na Abbah wanatarajiwa kukutana jukwaani kupitia Tamasha la New Generation Festival, litakalofanyika Oktoba 30, 2026, katika ukumbi wa Dar Village, Jijini Dar es salaam. Tamasha hilo linatarajiwa kuwakutanisha Watayarishaji hao wawili ambao kwa muda wamekuwa wakilinganishwa na Mashabiki wa Muziki wa Bongo Fleva, hususan katika uwezo wao wa kutengeneza midundo na kuzalisha nyimbo zinazofanya vizuri sokoni. Akizungumza katika kipindi cha Double XL cha Clouds FM, Oktoba 19, 2026, S2Kizzy alisema kuwa yeye na Abbah hawajawahi kuwa na mgogoro, tofauti na mitazamo ya baadhi ya Watu ambao wamekuwa wakihusisha majina yao na ushindani katika tasnia ya muziki. S2Kizzy na Abbah, wanaojitambulisha kama "Watia Lami," wanatarajiwa kutumia jukwaa hilo kuonesha ubunifu wao na mchango wa kizazi kipya katika maendeleo ya muziki wa Tanzania. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 07:20:12 GMT
Music
Download
Comments
Elvia :
Nani alipie twende woto jamani[Tears of joy]
2026-10-28 11:19:31
0
it,s brizmoney :
support my musichttps://youtube.com/shorts/c0mVdjTm0BQ?si=axbu_q9UYMspTIfE
2026-10-28 10:08:38
1
SheFine💅🥷🏽 :
Hmn msanii wa singel hata mmoja
2026-10-28 20:38:49
1
🅿️IZZ🅾️ ♏️✝️🅰️✝️🅰️👑💎 :
yan apo kuna mambo ayooo 🤘
2026-10-28 08:06:44
3
mussa Moses fm6 🇹🇿 🙌 :
👑👑👑👑kaka☝️🫡🫡
2026-10-29 17:08:20
1
sabreena🧸__ :
mngetuacha tuomboleze ndug zetu tuliowapoteza 29oct
2026-10-28 07:36:52
4
:
Kesho ndio ile siku watanzania wenzangu
2026-10-28 09:02:05
1
🈵🈹🉐㊗️ :
Stans ataimba nn jaman msinifokee nina kwikwi 😳
2026-10-28 09:12:14
1
Kina melody 🎵 🎼 :
Nakuambieni vibe lote lipo vip na regular huko
2026-10-28 11:45:47
0
Real.MDEL ONE_ :
The Revolution
_Sound by abbah
2026-10-28 08:18:16
1
NO LOVE 💔 :
mm siji sijamuona lbrah
2026-10-29 09:28:10
0
jitaboy_😂😂 :
wambie waungane tu ila sisi kama Genz tumempitisha king parazo ndo producer wetu bora
2026-10-29 10:10:17
0
muuzaviatuvyakike1 :
Hii ni yetu sote
2026-10-29 04:33:06
0
@𝐉𝐞𝐫𝐫𝐲 :
wakwanza kwenye akaunt kubwa
2026-10-28 07:25:30
0
𝙅_𝙅𝙊𝙆𝙀𝙍🐆 :
support my music bro🙏
https://youtube.com/@hits_melody_gang
2026-10-28 10:13:33
0
chipozi🎬🎥 :
show aina malume wala mbwido akuna kitu hapo.bola ni lale
2026-10-28 08:30:24
0
FEZY.🚲.🦺.🎶 :
Kim I'm namtaka LOUI Tu[Tears of joy][Tears of joy] bamnyon'godee[Tears of joy]
2026-10-28 16:31:45
0
🦋Am happie🦋 :
@aggieazalea
2026-10-29 07:23:04
0
savage_k19 :
🔥🔥🔥
2026-10-28 13:01:38
0
themagictz :
🥰🥰🥰
2026-10-28 15:43:32
0
KAM the don :
🔥🔥🔥
2026-10-28 07:26:17
0
fahadi omari :
✌️✌️✌️
2026-10-28 13:03:28
0
NTAHONDI JUMA :
😳😳😳
2026-10-28 07:49:49
0
Rama Mobile Hub :
[Fire][Fire]
2026-10-28 13:20:14
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.