me alikataa mimba na mtoto akazaliwa Bado akakataa tarehe ya mtoto ya kuzaliwa ndio alio pata ajali akafariki
2026-10-28 10:29:15
28
Peter Rogath :
My name is Peter Rogath Tarimo I am from Tanzania I am asking for prayers. 5
1. I want to get a blessing.
2. I want to find Grace.
3. I want to get permission.
4. I want to get a good job in every sense.
5. I want to get five million money every time.
Thank you Lord Jesus.
2026-10-28 19:04:22
1
🌸Mom Nasreen🌸 :
mm mwenzenu mwanaume wangu niliezaa nae kanikataa alaf kaenda kumkubali mwanamke mwengine aliezaa nae hvi kesho kutwa tu wanafany birthday ya moto wao mm huku hata senti hatumi jmn ila mungu yupo
2026-10-28 12:40:25
8
congester koku :
neno hili likwafikie wanaume wote
2026-10-28 13:59:33
9
Reedah🤍🌺 :
Sasa ulikuwa unakataa nini mwenetu
2026-10-28 11:05:17
3
🌹Nas Beiby☘️☘️🪷 :
Safiii baba kuna wengine wengi tuh watesekese mpaka mkono wa mungu wauone
2026-10-28 09:40:40
4
Vernah Alvin :
wangu alimkataa saiv anamtaka ila mtt hamtaki tena
2026-10-28 11:55:14
1
Mama H :
Wanaume naombe msikilize vzr 😁😁😁
2026-10-28 12:17:32
3
Zuwena$ :
Wangu wasife Mungu nisaidie ck washudie mtoto wangu akifika mbali
2026-10-28 17:30:41
2
👩🏽⚖️ :
ndo mkome mnakataa mimna kwa nini
2026-10-28 09:14:01
1
adelna aloyce :
amina baba
2026-10-28 19:18:36
0
💞💞 :
et nimesahau ila wanaume🙌🙌🙌🙌🙌
2026-10-28 09:58:35
0
Irene sifa :
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen 🙏🙏🙏
2026-10-28 12:29:33
1
manka awadh :
mungu sema na mm baba cjui kama ntasahau ila mungu umeniokoa sana
2026-10-28 19:35:52
0
Asha Msholopa :
Amemkataa mwanae naumia sana mungu anamuona
2026-10-28 19:44:54
0
sayayi :
mtumishi naomba namba Yako nikutafute.
2026-10-28 21:13:27
0
Zawadi Said :
ameni mungu ni mwema kabisa Kila wakati vafonami kw mzaxi mwenzangu isaya damu hitamgeuka tu
2026-10-28 18:10:12
0
Efatha mariko 7;34 :
mi
2026-10-28 19:14:47
0
Sabina donald :
baba naitaj niombewe
2026-10-28 17:26:25
0
NULI MDOE :
Nabii naitaji namba yako ninashida
2026-10-28 17:12:53
0
♋️…. :
woiii wangu alikataa mimba siku mtoto anazaliwa akaendlea kukataa nikamuachia Mungu nlikuwa nalia usiku na mchana akiih alifukuzwa kazi mpk sahz ako kwao anahangaika me npo apah kumsamehe siwez
2026-10-28 18:00:42
1
Ma faith :
mungu atutie nguvu
2026-10-29 00:27:48
0
Mimi Tuma :
mungu anajua
2026-10-28 17:52:26
0
Anger Muna :
amina
2026-10-28 18:56:47
0
TINAH💞🎋🧎♀️@10 :
Ndo msiwe mnakataa watoto Jaman. Ndo malipo kama. Hay but mungu akufungulie2
2026-10-28 10:21:12
0
To see more videos from user @prophetsuguye, please go to the Tikwm
homepage.