@sportshqtz: Mwenye Masters ya Strategic Management ya mwaka 2001 anapambana kukusanya plastiki mtaani ili kujikimu. Je, tatizo lipo kwenye mfumo wa elimu, ukosefu wa fursa, au ni hali tu ya kimaisha? Weka maoni yako hapa chini tuanze kujadili! 💬 ​#Kujituma #MaishaMagumu #Uchumi #Fursa #Instagram"

sportshqtz_
sportshqtz_
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 07:49:14 GMT
105991
8521
170
359

Music

Download

Comments

shrophkhan128
Shroph khan rider🤑😜 :
No connection no service 😢
2026-10-28 15:35:23
0
stanslauspaul8gma
[email protected] :
ngoja wandele kusoma mutaan tunawasubil
2026-10-28 08:31:56
50
michaelshaban85
micfasion :
hiiii nd tanzania
2026-10-28 14:51:38
0
user9348199800201
mrisho abasi issa :
kak umetisha san nakukubar san pia mim shabiki yako namba 1 kak 😂😂😂
2026-10-28 08:38:02
18
derickleonard671
Rick champ🥊🥊 :
wazaz na walez wanayumba kwenye kusaport
2026-10-28 09:32:56
14
m_smart_001
mad_comics :
mi mwenyewe nina PhD in engineering unaeza amini
2026-10-28 12:18:32
9
ramsonjipso17
Gipso_Gipson_17😟 :
hakika bro muimu kipaji na support support
2026-10-28 07:59:08
11
ikonda.finest001
RUN🤫 :
Afu mtu ananishauli dogo soma kwa staili iiih🥺 apana
2026-10-28 11:24:32
5
nimrahkhan230
nimrahkhan230 :
ndiyomaana sipendi kusoma sana😂😂
2026-10-28 15:04:37
1
zac._.ky
Za._.cky :
issue zingine ni spiritual aisee sio kawaida
2026-10-28 11:43:38
1
mitego0776
Mitego classic @ :
Kwan kusoma ni kupata ajira. Achen kuwapitoshawatu bwan, kusoma nikupata maarufa na ujuzi wa kutenda kazi ajira ni matokeo
2026-10-28 14:24:31
1
tosili
Tosili :
Shule haifundishi ujuzi ila inafundisha Maarifa
2026-10-28 13:23:27
1
rama.duki
C KTK CC🇹🇿🇲🇾 :
subhannallah.
2026-10-28 08:28:05
3
user4451266529930
user4451266529930 :
wasomi hi
2026-10-28 12:06:48
1
armak.jr
ARMAK JR :
Usalama
2026-10-28 12:10:20
1
kushii684
saraswati❤ :
ndo mana shuleni nilikuwa na ndoto yakuja kuwa mrembo
2026-10-28 12:20:16
1
benord46
Benord :
Riziki kaka
2026-10-28 12:12:07
1
clivaalex
king cali :
ouuuuuudaaaaaaaaa
2026-10-28 08:46:11
2
user94347181410742
kiddy bizzo :
Banaaaah
2026-10-28 10:23:49
1
_its.raheem_o.9
__🄸🅃🄲'  𝕞𝕖𝕕𝕤 ☬▽¯ :
Amna mkulunzinza shida ipo kwenye MAN U
2026-10-28 08:45:24
3
official.kidman7
KIDMAN updates :
daaah mwamba mvumilivu kama timu yake 🥺 MAN U
2026-10-28 15:28:01
1
jr.jaymo1
Jr :
nitafutien namb ake huy jmaa ndug zangu Angalau nimsapot chcht k2 au aje canada
2026-10-28 10:28:53
3
officialabdur11
abdul11 :
hiiii ndo tanzania babu mim nishaachag shul kwa sabab ajir za watanzania ak waw na guv kuu kutok ngaz za juu siy elim bal ni mikon ya waty ndo upat ajir pia nilichw na buraz ang nikiw n miak 9 anakuj kurud hom ana dev tulaingan kimwil ndo kamaliz shul han ajir ten nikaon yuk nachelew kuamin elim ndo musing wa maish wakat ni jitikhad zang ndo funguo ya maish esab ty usitapeliw kweny chech babu
2026-10-28 08:00:06
2
user18635142672816
user18635142672816 :
me ndo mana siamini sna katika shule uwa nahisi shule nikutowa ujinga tu kichwani na kujuwa kusoma na kuandika bx this life bila connection ni sw na Bure inaumiza sn
2026-10-28 08:57:16
3
user413743909091
user413743909091 :
Kuna muda elim ya dalasan ina pata shida sana ikifika mtahan Kwa sababu ya jila hewa
2026-10-28 15:33:36
1
To see more videos from user @sportshqtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About