@echoesofthelegents: Watu wengi wanajua Juwata kwa nyimbo za chama kama "Kazi Ni Nguvu"...Lakini mwaka 1985 waliamua kuimba MAPENZI!KWA NINI?- Watu walichoka siasa- Ushindani na Mbaraka Mwinshehe (Mama Sophia)- Na Bernadeta alikuwepo KWELI!Binti aliyefanya kazi ofisi ya JUWATA Kariakoo. Mwanamuziki alimpenda sana lakini pesa za mfanyabiashara zikamchukua.Huu wimbo ni barua yake ya mwisho!Gitare ya 1985 + kilio = Historia!#JuwataBand #Bernadeta #Muzi