@0784435453nyamgula: Ndugu katika Iman, Allah huangalia mwisho wa Mja na sio Mwanzo. Wangapi wameanza vizuri na kumaliza vibaya katika Umri wao, kama unafanya Twaa kwa Allah muombe Allah akudumishe katika mwenendo huo na akupe Mwisho mwema. Usiwe ni mwenye kuwadharau na kuwakebehi wanaokosea na kufanya Maasi. Allah anasema katika surat Hujurati sura ya 49:11 (Aya ya 11), kuwambia waumini "Enyi mlioamini! Watu wasiwadharau watu wengine; huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala wanawake wasi wadharau wanawake wengine; huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msitukanane wenyewe kwa wenyewe, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Jina baya ni ufasiki baada ya imani. Na wasiotubia, basi hao ndio madhalimu"

Abuu Abdirrahmaan
Abuu Abdirrahmaan
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 07:56:24 GMT
1721
159
2
24

Music

Download

Comments

user1081346553657
user1081346553657 :
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-10-28 09:33:33
0
chs_ddy
chs 🗨 :
🙏🙏🙏
2026-10-28 19:24:17
0
To see more videos from user @0784435453nyamgula, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About