we mi nilikipamba chumba mwezi wa sita ulipo karibia ananiambia anamwane anatoka chuo anapakufikia nikamjibu sawa mbona siku nanayo hama alifulah nilikwambia rangi yote nikaacha kama nilivyo pakuta
2026-10-28 14:12:10
22
Salu the don :
sheria ya mpangaji hurusiwi kujenga bila y ruhsa y mwenyewe
2026-10-28 14:39:31
13
sk👑 :
dada yamenikuta nimekitengenza chumba nimekuta akina mlango akija pakwa rangi akina jipsum nimeweka vyote jana tumekata na kwenye kodi kanifuata kaniambia kodi yangu ikiisha niame kuna binti yao anaolewa anataka kuja kuishi hapo .. iyo dar kinondoni na kuna pesa yangu yengine ya ufundi akikataa kasema aitambui iyo .. mi namwachia Mungu atanilipia kwa hili
2026-10-30 04:14:08
4
Hafidh :
Wajenge zao km rahisi bc
2026-10-28 13:56:29
7
Ms. thressy🦋🧿 :
Umesahau tunapandishiwa kodi na kuhamishwa tukikataa kudate na baba wenyenyumb so sad🥺🥺
2026-10-28 16:43:11
7
mwanamke shupavu :
mimi nimepangisha ila wapangaji wangu hawataki kuhama 😂
nimewaacha wailinde nyumba yangu na nawapenda sana
ila hao wengine kweli wanawadhulumu wenzao kama mm sitoki
2026-10-28 15:51:23
9
talalabdula8 :
na wanaofuja nyumba pia uwaseme.
2026-10-28 10:27:53
8
Mwanavua Suleiman :
me bba mwenyenyumba wangu alikuwa ananipiga chabo kila anapokuja bwanaangu tunamuona hivi dirishani tunashindwa hata kufanya chochote nyie 😳😳
2026-10-28 13:47:58
6
user9525203798020ma rose :
mm mwenye nyumba analala mlangoni asa ukitakakupita mpk useme
Nilitoa kila kitu mpka carpet akaja kuniuliza kwanin nimeondoa mpka stika ukutani nikamwambia nivyangu sikuvikuta
2026-10-28 15:07:13
6
Mbaraka Suleimani :
nilifukuzwa kisa foil ya chips kwenye debe la taka
2026-10-30 02:42:57
0
Maryamstara :
Ali. Tumwa atengeze
2026-10-29 14:27:52
1
BABA MALYUN :
kwani mkataba unasemaje
2026-10-30 04:31:53
0
almangush :
usikodi nyumba zanzibar
kakodi daresalam
2026-10-29 08:02:46
0
kiwa20 :
wakajenge zao
2026-10-28 17:27:34
0
miss Maggie :
kingine waseme hatukodishi wakiristo maana unalipa kodi hashemi masheriti ukisha toa kodi sitaki kusikiliza gospel nimeweka rozali naambiwa sitakii ila kodi imechukuliwa na hawatudishi ukienda kwa sheha no husikilizwi kbisaa
2026-10-29 08:21:51
0
To see more videos from user @nakirahayoub73, please go to the Tikwm
homepage.