@bakteria_massive: Daaah 🥹❤️🩹 Nilitengeneza hii beat nikiwa na miezi mitatu tu tangu nianze kuugua paraplegia, tena nikiwa kwenye homa kali sana. 💔🎹 Ukiangalia hiyo cover, huyo ni mimi mwenyewe… wakati huo wa mapambano. Leo nimekutana na hii beat tena, nikasema ngoja niwape na ninyi musikie. Maisha yana mengi sana, na kila sound ina story yake. 🙏🏾❤️🩹 🎶🔥 #BakteriaMassive #RealLifeStory #MusicFromTheSoul