@successwingatz: Replying to @pillynguonzuri Pilly kauliza: “Kijora cha Mombasa utakijuaje?” Kuna tofauti ya kuangalia kwenye mtandio, ukubwa wa kijora, mpangilio wa maua na uzito wa kitambaa. Lakini kumbuka, mtandio mkubwa pekee haumaanishi kwamba kijora ni cha Mombasa! Kama unaanza biashara ya vijora, kuwa makini na unaponunua. Si kila anayeuza vijora vyenye mitandio mikubwa anauza vya Mombasa, na ubora unaweza kutofautiana kulingana na bidhaa na muuzaji. Save hii video kabla hujaenda kununua mzigo, na mshirikishe mtu anayefanya biashara ya vijora. Wewe umewahi kununua kijora ukaweka kwenye maji kikachuja au kuharibika? #tanzaniantiktok🇹🇿 #vijora #Kariakoo #biashara #vijoramombasa
Success Winga
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 08:26:58 GMT
Music
Download
Comments
Rosyella :
unamanisha mombasa ya kenya?
2026-10-28 19:54:33
8
tee__store :
anaeuza jmn
2026-10-28 08:33:35
3
mamy vinah collection :
Nataka tufanye biashara
2026-10-28 10:10:20
2
hellenbupe :
dia naomba chimbo la Mombasa pls
2026-10-29 08:51:07
1
emmymog :
Unaweza tembeza mtu kariakoo at a fee?
2026-10-28 11:44:42
2
utukufu88 :
naomba namba zako ambazo zinapatikana
2026-11-02 07:25:24
0
DII~VIJORA STORE :
Waaambie wakipewaaa bei tofauti wanalalamika
2026-10-28 15:15:34
3
Esther vikoi :
Waambie bby tukiwaaambiaa kijora cha mombasa ni 10/10 wanakiambia mbona kariakoo wanauza 9000
2026-10-31 10:03:48
2
malqia collection :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming] Kabisaaaa
2026-10-29 18:49:25
0
rest :
safiii umenifungua
2026-10-28 08:31:15
1
didah :
ziki tofauti kulingana na bei
2026-10-29 20:28:32
0
jAisha Mohammed :
madera ni mombasa tu
2026-10-30 20:06:18
0
iptidahyaissaissa :
success Winga❤️💯❤️
2026-10-28 11:12:27
1
🪷Blooomer🪷 :
Na mimi vile napenda vijora vya tanzania sana
2026-11-01 18:20:05
0
Babyrain :
Basi mi wa Kenya nadhani vya Tanzania ndio vizuri,alafu pattern zenu amazing na vina bei kushinda vya kwetu
2026-10-30 03:32:36
0
ItsMysoulfood :
kabisa
2026-10-29 14:58:23
0
iptidahyaissaissa :
Asante kipenzi!!!!
2026-10-28 11:11:43
1
Ly 5 :
nikweli
2026-10-28 12:49:06
3
fatima :
vipo kwenye page yetu .....naomba likes[Heartwarming]
2026-10-28 16:53:04
1
JACK VIJORA PAMBE MOROGORO :
Vya Mombasa vinapatikana kwetu bei ni
2026-10-28 12:06:11
0
golden_beauty_store01 :
karibuni kwangu ni vya mombasa na isiliih nairobi Tu
2026-10-30 16:39:11
1
msuya hena na vijora pambe :
mimi nauza mombasa original
2026-10-28 17:17:21
1
rayllan_trends_arusha :
Nani yupo tayari tununue majora tuchanganye maua??
2026-10-28 16:08:54
1
zari :
2026-10-28 13:48:47
1
Mishy Mishi :
true my Mombasa vijora are intact kuliko za Eastleigh 😅😅
2026-10-30 09:07:44
0
To see more videos from user @successwingatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.