Ifike mahala Makanisa Yakae Mbali na Makazi ya Watu Maana Yamekuwa mengi na Kelele ni Nyingi Sana, Unakuta Kanisa kila Siku Kunapigwa Mziki na Ibada zinazoambatana na Kelele😭 Zinazidi. Kila mtu akisema awe na Kanisa lake sasa Waumini Mtapata wapi? Saivi mtu akiwa na laki mbili ananua Spika na Biblia tayar Kwa Kelele Mtaani. Inakera sana
2026-10-28 11:58:04
155
Raeight Liston :
kua mvumilivu yesu anarudi ivi karibuni
2026-10-28 11:06:03
114
Genstar comedian 💥 :
waislamu TAKBIR
2026-10-28 15:49:30
86
Blessed_26 :
Hakuna biashara inayokosa hasara😎
2026-10-28 14:41:38
57
S a i d o ™️ :
Investment On Its Knees!
2026-10-28 17:29:13
0
stide :
wanani mbna ausemi😂😂😂
2026-10-28 15:36:42
1
Said Libonge🇹🇿 :
Kumbe kila mtu ana kanisa lake 😂
2026-10-28 11:10:51
60
JB Lesamaki Laizer :
arise and shine again
2026-10-28 17:33:35
0
Kitoto Cha 2005 💘🫰 :
Mimi nimecheka bhana mtajua wenyewe 😆😂😅😛
2026-10-28 11:46:42
29
sheby_furniture :
me ni Muslim lakini hiki kitu sijapendezwa nacho sijui nyuma ya pazia juu ya kubomolewa hili kanisa lakini hekma ingelitawala zaidi! pole mama mungu atakulipa kheri. kilio na machozi yako mungu atayafuta ameen
2026-10-28 12:18:32
39
PROF. KATANTA :
waislamu tumswalie mtumeeee
2026-10-28 16:51:42
13
Man Boke :
yesu kaangukiwa na mabati ata yeye anahitaj msaada wako😅