nimejifunza kitu hapa sjui kama nipo sawa jmn mnisaidie,so anachojaribu kuongea kaka ni kwamba tusimchague mtu kwa kumwangalia muonekano ila mchague mtu yule ambae apart from muonekano anacho cha ziada si ndio jmn ebu mnieleweshe jmn🥺🥺
2026-10-29 08:18:26
47
darkie.xo.xo :
kwani haiwezekani kuoana..alaf kila mtu akae kwake?
2026-10-29 16:19:35
13
kaka_rafiq :
MMESIKIA? USIOE TU SABABU UNAMPENDA??
2026-10-29 09:10:19
7
Joyce Selemani :
nikweri kabica kaka
2026-10-28 12:23:51
6
p0unD&d0lLãRS :
Ndoa n mbaya😏😏
2026-10-28 15:05:28
4
Chief_Ando :
sasa huo mfano na wewe si utupe wote
2026-10-29 05:01:30
7
debby :
kwanini maria😂
2026-10-28 20:17:27
5
@moreenswai :
Inshort tu usiwe desperate na ndoa
2026-10-29 07:59:43
15
Sir hunter :
kama huna sababu maalum usioe kabisa, usioe kisa urembo, pressure wala jamii
2026-10-28 17:16:09
14
iam_joie22🦋🤍 :
Think beyond love
2026-10-28 19:54:23
0
Sam Nails Tech :
kama si mature man huwezi elewa hii sio kwa watoto
2026-10-28 18:06:12
5
Dalali wakike mbeya mjini :
ukweli mchungu ✍️
2026-10-28 19:34:25
4
kaylah mkumbo99 :
😂kumbe nipunguze kiskariii🙌baasi tukutane mwaka 20230
2026-10-29 06:03:01
2
sarah♎️✨️ :
hata mpendane vipi lazima mtagombana tu kwenye ndoa ....sasa Ingia kwenye ndoa na mtu mnaewezana nae hata mkigombana mna lugha yenu ya kuelewana hamshindwani.
2026-10-31 04:01:54
1
MARTINEZ-$ :
perfect 👌
2026-10-28 16:35:18
4
BONGO ACCESSORIES :
ndoa nyingi za kisasa hazina Mungu katikati yao ndio sababu nyingine zina fata
2026-11-03 15:54:12
1
Smartlady*🍇 :
Kunywa soda jamaniiiiiiiiii
2026-10-28 15:58:32
3
Mteule 26 :
That’s a bitter truth
2026-10-28 15:06:12
2
🦋Decute💕🦋 :
Naked truth 📌
2026-10-28 20:49:18
1
broockliyn___mwakasaka :
bro nimekupata vizur sana kaka
2026-10-28 18:47:08
1
witnessjonas230 :
namuunga mkono maana uwiiiiii acha kabisaa
2026-11-02 08:33:47
0
kinguluila8888 :
huo wa offline ndio tunautaka sasa 😂😂😂😂
2026-11-07 03:21:50
0
bby_sera :
you said it all.....
2026-10-28 13:32:06
0
To see more videos from user @dreamaid.studios, please go to the Tikwm
homepage.