@abuuwafaa65: 📚 本内容仅用于教育和知识分享,旨在促进公众学习与交流,不针对任何个人、群体或组织,也无意攻击、骚扰或冒犯任何人。 感谢 TikTok 提供这个分享知识、服务社区的平台,衷心感谢! #viral #oman🇴🇲 #trending #dubai🇦🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿

Abuu-Wafaa
Abuu-Wafaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 09:36:44 GMT
3550
157
39
14

Music

Download

Comments

issanassor188
Issa Nassor :
usilolijua usiku wakiza
2026-10-28 13:36:29
4
sadry_elmuhsin
Idriss El Mahdi :
sheikh dini haipo katika kusemana. kama jambo hulipendi basi achana nalo, waache wale wanaolifanya, kila mtu ana nafsi yake, na kila nafsi itahukumiwa kwa kile ilichokifanya. walinganie watu waachane na miziki na uzinifu
2026-10-28 10:27:00
2
kupata.kuna.mungu4
Kupata kuna mungu :
Je unaijua silsila ya twariqatul kadiriya?
2026-10-28 15:19:22
2
hakuna.matata9889
Hakuna Matata :
bado kasome
2026-10-28 18:12:30
1
fikratulmuhibb1
FIKRATUL MUHIBB :
Mtu asema Allah Allah
2026-10-28 19:07:36
1
khansenterprises017
Khan 017 🇦🇪🇹🇿 :
Nyote mnao tetea mniambie niwapi mtume amefundisha hio twarika kitabugani mtume ameelekeza hio twarika au imam gani amesema kuhusu twarika kua nisehem ya dini?
2026-10-28 16:55:41
0
alinyo28
Alinyo :
Tafuta Elimu hata kama China Kwa hiyo vijana tu some na sio kusema jambo bila ya Elimu ni mtihani
2026-10-28 16:27:51
1
user57840439690352
💓💓💓💓 :
ukimsikiliza bila makasiriko kuna ukweli ndani yake
2026-10-28 11:04:44
2
edisony07
Bin Muhammed :
kweli Anachokiongea Mm Nimefanyia Tafiti ni kweli
2026-10-28 11:51:59
1
shia781227
Baide :
hii inaingia akilin nikwel kabis
2026-10-28 13:16:43
0
ibrahim.hasun
Ibrahim Hasun :
ila sio wote wanaopanda mdadi ni wamepanda majini laa bali wengine ni nafsi zimeburudika juu ya utajo wa Allah na mahabba ya mtume
2026-10-28 14:23:31
0
ramdhun..rjj
Ramdhu,,,,, 💫 rjj :
kila moja na imani yake na ww baki na imani yako ila jifuze elimu zote utaju kila kit
2026-10-28 20:42:05
0
abubakariddi8
userabubakar :
kwani hapo anasema neno gani ikiwa anamtaja Allah je kuna kosa
2026-10-28 17:38:11
0
muhammedmohd90
donistar :
mambo yetu wenyewe tusiseme ni dini yabakie kua ni yetu tukiyaona atuwezi nyamaza
2026-10-28 18:24:59
0
ms...tz
MS...TZ :
kumbe na ww ni muridi hahha
2026-10-28 16:42:14
0
yusufusaidingalen
Yusufu saidi Ngalenganila :
Apan mwalim ume fika mbali sana
2026-10-28 10:42:17
0
ramdhun..rjj
Ramdhu,,,,, 💫 rjj :
wstibiye
2026-10-28 20:45:50
0
muhammedmohd90
donistar :
utajo wa Allah unajulikana mtaje qadiri ya uwezo wako huyu kijana kasema ukweli mm ni miongoni mwao baada ya kusoma tawhyd nimeelewa nimeacha.
2026-10-28 18:21:29
0
phdfinance
Dadi :
kwani watu ambao si wa twariqa hawasumbuliwi na majini
2026-10-29 02:30:06
0
thuma2020
phathuma🥀♍ :
Asalam alikum shekh mbn ckuoni live
2026-10-28 13:13:47
0
amisalim28
Maalim Ami Salim :
hapa kuna mambo haya 2
2026-10-29 00:23:23
0
lyongoabubakar
Lyongoabubakari :
kwahyo mwalim unatuambia hawa أهل طريقة القادرية hawa ni wagonjwa?
2026-10-28 09:54:24
0
qassimmaleya
ayman :
Leo kabisa umekosea basi allah akusameh
2026-10-28 09:49:01
0
tadhkira_agro_farm_313
TADHKIRA AGRO FARM 313 :
ulipo gusa sipoo sasa utapotea wallah nakuapia
2026-10-28 16:33:54
1
abuudardadi
abuudardadi :
Hebu tuulize ili tukueli mishe
2026-10-28 20:15:24
0
To see more videos from user @abuuwafaa65, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About