@eliajassonzumarid: Asante Baba yetu Umeturehemu, Maana Shetani alituperekesha mno huku amejificha kwenye jina la Yesu... salute kwako, Minister @Shan girl💖 #mfalmezumaridi #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #worship #fyp
Elia Jasson Zumaridi (Elybeat)
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 09:50:12 GMT
Music
Download
Comments
Oscar Wissa :
Au ni AI?
2026-10-29 16:11:59
0
tyna k :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] haaaaaaaaaaa
2026-10-29 10:58:34
0
Calebless mom💃💗😇😍 :
wanachekeshaaa kama sio ndugu zakoo😂😂😂😂
2026-10-29 11:02:43
78
no one$ :
May God help us oooh 😢🙆🏾♀️
2026-10-29 05:03:27
0
Neyluxe_outfit :
Yesu upo wapi
2026-10-29 09:35:45
0
Vera_Elis_Collection :
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
2026-10-29 13:42:25
18
unice :
Kwa ambaye hajui misukule ndo hii sasa
2026-10-29 14:17:09
12
E L I S H A 🌱 :
Asante Mamaaaaa😂😂😂😂😂😂
2026-10-29 06:58:24
33
Cynie :
Kwan, nikwamba wameshikwa ufahamu au ni veep🥺
2026-10-29 08:47:30
19
challenges makes perfect :
Mkumbuke muumba wako siku ya ujana wako kabla hazijaja siku zilizo mbaya na kusema sina furaha katika hiyo
YESU NI MWEMA KILA WAKATI
2026-10-28 13:00:06
20
shaddy@mb :
😳😳😂😂😂😂😁😁 nshindwa nichekaje ,,, ila MUNGU wa mbinguni awafunulie, Ila naumia sana 😢😢
2026-10-29 07:05:58
14
annamartine :
siwapend Mimi bac t
2026-10-28 17:50:53
5
𝒁𝒊𝑸𝒖𝑩𝒂𝒔𝒔🎸 :
ivi kwan serikali hawaoni hii kitu [Unimpressed]
2026-10-29 06:58:04
6
its fetty🌸🥀 :
ivi nimasikio yang au nanyie mnasikia Kam ninavyo sikia mm
2026-10-29 08:45:03
7
user520127156128 :
huruma sio malezi MUNGU wangu shusha gharika nimechoka kuona unatukanwa na wanadamu ulio waumba
2026-10-29 07:39:58
6
Elia Jasson Zumaridi (Elybeat) :
Zumaridi Ndiye alfa na omega, Ndiye Jehovah, Ndiye Niko Ambae Niko na Ndiye Mungu aliyekuwa akitumia jina la Yesu sasa kaja kwa jina jipya ...
2026-10-28 20:36:30
6
Victoria Nickodem :
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa ndo 😊
2026-10-28 20:52:07
8
Neema Donald :
mmmmmmm
2026-10-29 11:30:23
0
Beatha seleman :
KWAKWEL MUNGU SI MWEPESI WA HASILA BALI NI MWINGI WA REHEMA.
2026-10-29 07:45:12
5
jolly ❤️❤️ :
😂😂😂 uwiii nacheka Kam mazuri
2026-10-29 10:21:16
5
sayunishalom :
huku nikuchanganyikiwa🙄🥺
2026-10-28 20:15:08
8
Rachel288 :
Walivyo serious sasa 😂😂😂😂
2026-10-29 06:10:24
5
SINTA 🌸 :
Wazaz wang ningewaon hap fimbo zingehusik
2026-10-29 11:29:33
5
mirrabelangel💕🦋🦋 :
mungurudi2 wameanza kukuzoea
2026-10-29 11:18:58
0
ABIGAIL DEOGRATIUS :
MMMh kumbe dunian ndo tumefikia huko kumuona na kupmpa utukuf mwanadamu kama mm jmn
2026-10-28 20:37:19
3
To see more videos from user @eliajassonzumarid, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.