@martha_sospeter: Haya ni Maombi Kwaajili ya ndugu zetu waliopoteza Maisha siku ya Maandamano ya October 29, 2025. pia ni Maombi ya Kuliombea Taifa letu la Tanzania lidumu katika Amani, Haki,na umoja #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #congolaise🇨🇩 #maandamano @SOSPETER MWAGENI🇹🇿 @SOSPETER MASHAIRI
Martha Sospeter
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 09:53:11 GMT
Music
Download
Comments
vunjaa classic tz🔥 :
hongera San kwa message, R.I.P kwao Oct 29💔🇹🇿🫡
2026-10-28 12:06:48
0
user9818422584475 :
AMINASANA
2026-10-28 12:11:20
0
Linus Flora :
Raha ya milele uwape ee bwana,na mwanga wa milele uwaangazie ndugu zetu.Amina
2026-10-28 10:33:57
130
king_kibe004🇹🇿 :
R.I.P Kwa ndugu zetu WOTE waliopoteza maisha Oct 29🙏🤍
2026-10-28 10:27:51
90
dogo Gacqy_tz :
Rest ln peace 🙏🙏
2026-10-28 12:45:07
0
jaklyn :
waimbaj tunawapenda mungu awalinde
2026-10-28 10:59:58
49
mayra taki :
R l P Boy friend 😭😭😭😭😭
2026-10-28 11:45:08
0
SIMBA_MEENA :
R.I.P Tanzanians gone
2026-10-28 11:44:36
0
Anney💞💕0581 :
yani wew kaka mungu akubariki
2026-10-28 11:16:16
36
JOEL JAMES :
nimemkumbuka mjomba angu duu! 😭😭😭
2026-10-28 11:29:59
36
deborah nyango'ndi :
kuna wengine walikufa bila hatia
😭😭
2026-10-28 12:01:55
30
Rich jr🤑 :
wimbo wa taifa ndio huu sasa 🤝
2026-10-28 12:32:58
11
willson :
ongera sana kwawimbo mzuri
2026-10-28 11:36:48
16
Ev Godliving Mremi 📸📸📸 :
Bwana ametoka na ametwaa Jina La Bwana Liimidiwe Woote wapunzike kwa Amani 🙏🙏🙏
2026-10-28 10:56:56
21
Thom :
Good work
2026-10-28 11:53:46
0
maryvenance26 :
nimemkumbuka kaka zangu2 yangu jamani nachukia serikali ya tanzania jaman
2026-10-28 12:08:42
13
Kelemensia Mashaka :
mtafika mbali sana
2026-10-28 10:54:25
11
Raphason :
RAHA YA MILELE UWAPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE ndg zetu AMINA🙏🙏
2026-10-28 11:22:39
12
user4714306814122 :
mtafika mbali mungu awe pamoja nanyi
2026-10-28 10:48:01
6
it's Salma 🥰🥰 :
mbarikiwe Kwa kuwakumbuka ndugu zet waliopoteza uhai wao 29
2026-10-28 10:02:49
9
deborah8 :
Rahaa ya milele uwape eee bwana mwanga wa milele uwaangazie milele AMINA AMEN 🙏
2026-10-28 11:24:21
6
maria :
daaanimemkumbuka kaka yangu mungu akulaze mahali pema pepon
2026-10-28 11:25:36
8
Ester Samwel :
Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie ndugu zetu wapumzike Kwa Amani 😭😭😭😭
2026-10-28 11:19:20
5
Ghost Rider😎 :
Mungu awalaze mahalipema peponi nduguzetu
2026-10-28 10:57:45
5
Ms Rose🥂 :
sitosahau hii cku mme wangu alipigwa risasi ya matako😭
2026-10-28 12:31:21
3
To see more videos from user @martha_sospeter, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.