@nijuzenews: Katiba ni karatasi? Majibu ya Wakili Madeleka kwa Mbunge Cherehani Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u Tembelea tovuti yetu kwa habari zenye uchambuzi wa kina>>> www.nijuze.com
Angalia kwanza watu wanaomsikiliza walivyo choka inchi imechoka rais wao wamechoka sasa kama katiba ni karatasi haina faida basi isiwepo kabisa haina faida
2026-10-29 08:31:18
1
yoooh :
na wanapiga makofi hii inchi ina watu wengi hawajielewi mjue
2026-10-28 15:48:20
13
Mmakonde Mchaga :
Ukitaka kujuwa mtu ana akili timamu mpe cheo CCM
2026-10-28 11:39:04
43
imma munisi :
butter fly
2026-10-28 20:19:04
1
Uncleautospare :
Madeleka usitake watu wa kuamini kuwa wewe ndo unajuwa kuliko watu wengine,muktaza wa melezo ya mtoa bada hakumaanisha kama wewe unavyo taka kuwaaminisha watu
2026-10-28 13:17:02
1
YUSUPH Njiku Mobile & Accessor :
kama anahoja za kutosha anitafte nimuulize maswali matono5 ila asipanic
2026-10-28 12:04:55
7
user3611991609265 :
Hivi mwaka 2030 uchaguzi utafanyika kwa kuzingatia nini maana katiba ni karatasi tu.
Kimsingi wanajua umuhimu wa katiba, ndo hiyo ilowaweka madarakani na ndo hiyo hiyo wanayoitumia kuwafunga wengine jela! Ni matokeo ya kukosa kuthamini wengine, na si vinginevyo 🫴🤌
2026-10-28 11:40:18
6
Kwa mama Gideon :
nchi ya mafununu
2026-10-29 09:44:21
1
cady101 :
KATIBA INAWEKA MFUMO MZIMA WA NCHI
2026-10-29 06:03:26
2
gmbise2 :
huyu mzee nilikuwa namuona wamaana sana ila kwa sasa
2026-10-28 23:08:23
2
user8651832656004 :
Hiyo nchi iliyobadilisha katiba mara 1000 inatakiwa kuwekwa kwenye kitabu cha THE GUINNESS jabokuwa ni kijitabu tu
2026-10-28 21:34:01
1
hijahashim101 :
angalia kwanza watu wanaomsikiliza walivyochoka nchi imechoka raia wao wamechoka sasa kama ni karatasi haina faida yoyote basi isiwepo kabisa haina faida
2026-10-29 08:34:57
1
CHEED BOY :
Muda mwingine mnaweza kulazimisha mtu awatukane Ani wakati ni zambi kumtukana kiongozi ko muwe na nizamu bx
2026-10-28 23:43:07
1
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.