@pius_rubinda: Uchumba sio ndoa ‎Kupendana sio Uhakika wa kuoana Bali ‎Uvumilivu wenu ndio unao zaa ndoa imara kwasababu Mwenda pole hajikwai ‎Kobe Mpole ndiomaana huishi miaka mingi ‎Ila fisi mla mizoga hufa kwa tamaa ‎ *‎FANYA HIVI KUSHINDA UZINZI WAKATI WA UCHUMBA* ‎Epuka matarajio makubwa kwa mwenzawako ‎kisha ongeza mipaka na kujiheshimu maana Kunguru muoga huishi miaka mingii na muda ni hakimu wa haki lakini amuogopaye Bwana atapata mema ....Mithali 22:4 ‎Kilicho chema hakitoki jaralani hata dhahabu itokayo aridhini inachukua gharama kubwa inapita motoni ili istahili sokoni epuka kujichafua kabla ya Ndoa utateseka ndoani Ubarikiwe Sana sana sana na Jehova Jire aturehemu wote Amen

Pius_Rubinda
Pius_Rubinda
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 10:09:14 GMT
25024
314
6
65

Music

Download

Comments

winfridaluko
winfridaluko :
amina
2026-10-28 20:01:50
0
middoh.brown
middle blanta tz :
nilisha zini na watt pia wp
2026-10-28 19:50:22
0
winikayoka
love nickson :
amen ubarikiwe
2026-10-28 18:04:46
0
baby.girl62148
Baby girl🩷 :
Amen ni kweli pastor
2026-10-28 12:02:33
0
user54300585678778
Getrude#🇯🇲Echo :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-28 16:24:04
0
agnesspatrick2
wegge_ :
🥰🥰🥰
2026-10-28 20:26:25
0
To see more videos from user @pius_rubinda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About