@uhondo.tv: Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda Bungeni mjini Dodoma leo Jumatano, Oktoba 28, 2026 wakati akimpongeza mshindi wa Miss Grand International, Jihan Dimack na vijana wote kiujumla.

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 10:16:23 GMT
65441
2168
47
203

Music

Download

Comments

annievilly4
annievilly :
kumbe baba revo yupo apo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 13:15:21
0
hamza.danda
Humzer :
Alaf kila miss awekewe namba za simu mbele ya jina lake kabisa tusiangaike kuomba
2026-10-28 12:36:11
17
bahati_ryoba
Bahati Ryoba👨‍🏫 :
Siwez kusubir kote huko
2026-10-28 11:48:11
1
dalali_mbongo
Dalali mbongo_ intel Arusha. :
hahahaha kama movie vile afu ukute ni kweli
2026-10-28 11:40:00
8
pistonworks
Ivan mechanic🔧🛠⚙️🏋‍♀️ :
Sahv sina haraka mm,kuhusu kuoa ngoja nijinoe na mazoezi sasa na niandae gheto langu vzr alafu niwe na pesa kdg ee mwenyezi mungu naomba unitangulie🤲💪🙏
2026-10-28 13:52:12
1
marleyz97
Marley :
Tuletee baba
2026-10-28 12:19:40
3
rockthan1
ROCKTHAN Baba la Bala :
Hapo serikal itakuwa imesaidia sana🤣
2026-10-28 16:38:53
0
imathedjtz
🅸🅼🅰 🆃🅷🅴🅳🅹🎧🇹🇿 :
tuchanganyeni iwezavyo
2026-10-28 12:49:11
1
tasnotha2
Sweet Aura🍭✨ :
ila hii nchi hpan 🤣🤣🤣
2026-10-28 10:35:49
2
tknyamwezboymasterjesh
TK Nyamwezboy MasterJesh🇹🇿 :
MAKONDA ana NGUVU kiasi kwamba , Kazuia Taarifa
2026-10-28 16:06:55
0
its.happy206
𝑴𝒊𝒔𝒔 𝑯𝒂𝒑𝒑𝒚 💋 :
Hii nchi ngumu sana 😂
2026-10-28 15:59:07
0
mwesangeo
Mwesange :
jez mbaya
2026-10-28 12:39:57
1
lukona011
Lukona01 :
ndio maan hata mm sitak kuoa kwanza lazma nioe miss hata kama atakuwa hajashinda
2026-10-28 14:48:51
0
saumu.omary4
saumu mwalimu ❤️ :
😂😂😂 na sisi pia hatuna haraka
2026-10-28 15:35:20
0
japhkizzy
JAPHKIZZY Tz :
ila viongozi wetu wanatujali aiseee😂😂😂😂
2026-10-28 15:15:05
0
sideboy.699
sideboy.699 :
sijui nacheka kwann
2026-10-28 13:39:16
0
shebbyrazack
Shebby Razack :
Sawa Mheshimiwaa
2026-10-28 13:40:58
0
rich_tajirii
🕹️⚽🪙✈️💰🎩 😜😁😉✨✴️🌟🎮🍻 :
uzuri mm naoa 2030
2026-10-28 14:55:31
0
kombo.shaban0
kombo shabani :
naomb iwe kweli maan wengine hum hatujui kutongoza
2026-10-28 13:02:13
0
mdogo.d7
mdogo D 🐋 :
kunamda naipenda TZ kunamda mnanikela
2026-10-28 13:00:14
0
younix10
❤️Yunnie🧸🎀 :
Tutajionea mengi sana 😂😂
2026-10-28 13:38:01
0
user257767081099
Israel Mkapa :
Kaka nasubili iyooo siku nipo na wewe😆😆😆
2026-10-28 16:46:48
0
ruwiya.rashid
Ruwiya Rashid :
2026-10-28 13:09:05
0
official_sheila_tz
شريفة🌸 :
sawa na wasubiri kwaham
2026-10-28 13:19:12
0
dplanetdotto
Dplanet Dotto :
😂😂😂
2026-10-28 10:30:01
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About