may Allah grants our mothers in jannat firdous
ameen
2026-10-29 05:51:34
0
longhair :
big up brother
2026-10-29 07:37:09
0
Niiygirl❤️ :
Soo sad🥹😪allah atupe nguvu za kuwapambania wazee wetu Amiin🤲🥹
2026-10-28 18:17:08
18
🥰🌹Sĥëĥãř🦋 :
Mm nikiangaliya tu hizi clip za aina hii ndo napata nguvu ya kupambana ili niwasaidie wazee wangu na wawenzangu km hawa Inshaallah 🤲😭😭😭
2026-10-28 21:10:44
11
mamup31 :
dah 😭😭😭😭 me inaniuma kumuon mama km hv jmn sn t uwezo ila naumia sn
2026-10-28 12:58:46
12
Qalib salim 🫀🤍 :
Ya rabby 😭😭😭
2026-10-29 02:24:26
1
Amavinga :
allah mbarik uyu bibi
2026-10-28 18:59:44
5
865848797 :
eh mwenyezi mungu bless huyu mama
2026-10-29 07:59:46
1
Faudhia Adam :
yaaraby tupe nguvu tupe afya njema tupambania wazazi wetu wasiteseke
2026-10-28 22:00:35
3
ALPHA 🫵💪 :
Daahh pole snah mama yetu🥹yaa ikhwaaaaa kipato ulichojaaliwa na ALLAH (SW) hizi nd thawabu ili mali yko itakaswe na ALLAH tuckubali kwenda kuw mas'uul kesho akher wakat tunayaon haya na hya mmbo tukifanya thawabu zke ni za kuendelea tupend bc at kusafisha ibada zetu🙏
2026-10-28 17:10:15
3
dark_beauty :
wallah nimekosa hamu ya kula😥😥😭😭 naona kma mama yangu mzazi tu ewe mola wetu mlezi wajalie wazazi wetu makazi mema na maisha ya heshima htakma hawana kipoto Cha haja Amiin 🤲
2026-10-28 17:12:24
3
Ashuu kham :
inauma san pale mzazi wako anapitia hay na ww unapamban kwa ajili yao lakini allah ankuwa hajaqadiria mwisho wa sik rizki inaonekan lakin wawo allah kawaita mda mrefu....😭😭😭 ilaa pole san mama angu umri huu alipswa kupumzika lakin😭😭😭😭😭
2026-10-28 18:37:36
2
🥰Sñôwy_gïrl💞🥰 :
Ya allah naomb unitunzie mama yang na umpe mwisho uliy mwema[Pray][Pray]
2026-10-29 04:02:19
2
Ismail kondo :
kaka allah akulipe kher nabarka
2026-10-28 19:16:27
1
Salum Likonga :
Allah akujaalie kheli na Baraka bibi
2026-10-28 22:21:04
1
Mr _raiyas 🥇 :
daah Yan mpa nimtokw na machoz hakia mung
2026-10-28 20:34:24
1
Muu the latest 😜✌ :
Allah awajaliye kila la kheri na awaepushie n kila lenye shari wao /wazazi&walezi wtu walio hai na ambao wmetangulia Allah awajaliye pepo wao na sisi na tuwapenda AllahumaAmmen ✨
2026-10-28 20:39:31
1
proud😀😀 :
😭😭😭😭😭😭ya Allah ni nyime Mimi mpe kwanza uyu mama 😭😭😭😭😭😭😭🤲
2026-10-28 23:17:56
1
[😍H😍A😍J😍I😍]📵😘🏴☠️🏴☠️ :
2026-10-29 00:16:10
0
Ismail kondo :
hakika umefanyajambo kubwasana
2026-10-28 19:17:12
1
mama-asha1 :
...Allah wahifadhi mama wote duniani na akhera...
2026-10-28 19:43:41
1
bintyseif :
SUBHNAALLAH inaumza san Allah atupe Imani , uwezo na nguvu za kuwasaidy wazzi wetu
2026-10-28 19:15:00
1
Latylady ❤️ :
daah Yan mtihan kwakwel 😭😭😭
2026-10-28 17:26:08
1
Mauwa Juma :
mitihani kwakweli maisha aya
2026-10-28 16:57:13
1
Swabiha :
Tupambane Bila kukoma maisha haya yabebe ni wewe ama mama yako duh😭😭😭
2026-10-29 09:08:57
0
To see more videos from user @electriclight00, please go to the Tikwm
homepage.