Alafu ni birth day yangu jamani ndio siku nliondokewa na Kakangu,siku ngumu kwangu
2026-10-28 21:09:18
42
love ♥️ nessog :
ishallal🙏🙏
2026-10-29 05:32:22
0
official jaff 🇹🇿🌹🇴🇲♥️ :
mungu awalaze mahali pema inshallah 🙏🏻🥲
2026-10-29 04:22:35
23
poshytinnoh :
Daaah yan hii nyimbo nayo isingekuwa Mungu kunisimamia ningeimbiwa leo
2026-10-29 06:19:21
11
DOSELA RD. Actor :
nawaombea dua njema ndugu zetu waliotangulia
2026-10-29 08:53:00
2
Godson Mungure :
Mungu tupatie haki juu ya damu za watanzania
2026-10-29 08:41:50
2
zakaria Samsoni kmc :
nothing
2026-10-29 02:48:20
0
Maua🦋🌹💐 :
Dodom ndo machinga na mam wauz matunda na mboga wanazid kutesekeeeh mungu uko wap🥺
2026-10-29 04:46:39
11
pacha temba :
endeleen kupumzika kwa amani ndugu zanguni
2026-10-29 04:28:54
8
joseph mahende :
Roho za marehemu zipumzike mahala pema peponi,Amina.
2026-10-29 04:48:10
7
kimdyner :
alikufa mkaka jirani yangu alienda dar kujitafuta karudi moshi maiti ni rika langu kila nikiona kaburi lake naumia sana
2026-10-29 05:00:37
4
Esther Luhamba :
wapumzike kwa aman
2026-10-28 19:44:36
4
Aksa yakobo :
duuh ni maumivu sanaa mungu awapuzishe kwa aman
2026-10-28 20:09:34
3
linnah2017 :
wapumzike kwa waamani
2026-10-28 17:18:57
4
jumo harder :
2026-10-28 20:20:59
2
Traore mtanganyika og :
2026-10-28 15:39:20
2
ClaraGod8 :
na leoo mama katuchukiaaa,,,machinga wote fukuzwa, BIASHARA zimedororaaa,,,,,maisha yamezidi kuwa magumuuu,,,,kina mama hatuuzi tena mboga mboga kando ya barabaraa hiki nacho kimeturambaaaaa,,,,,,👀👀👀
2026-10-29 04:16:25
3
sh🦋 love 🍎🦋 :
shairi la taifala Oktober 29 hakika siku iliyo jaa machungu ndani ya mioyo ya watanzania, RIP ndungu zetu😭😭😭😭