@islamicswahilinet: DUA KUBWA NA BORA ALIYOFUNDISHWA KHALIFA ABU BAKAR AISOME KABLA YA KUTOA SALAMU! Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 11:35:36 GMT
Music
Download
Comments
Cardy cakes n' bakes KE 🎂 :
Allahumma inni dhwalamtu nafsi dhulman kathiran ,Wala yaghfiru dhunuba ila anth faghfirlii maghfiratan min i'ndik warhamni innaka Antha Ghafurun Rahiim
2026-10-28 19:56:21
14
ghalia_133 :
Amen Yarrab
2026-10-28 19:15:17
0
Olive :
Jazaka-Llahu kheyran kathiran for the beautiful Dua.
2026-10-28 20:39:09
1
ammarr :
Si mtu aniandikie
2026-10-28 19:46:31
1
neymezyusuf :
S.A.W
2026-10-29 09:45:22
1
Ibrahim Mohamed :
ALLAHU AKBAR
2026-10-29 15:56:09
0
jimie :
ameen Ameen Ameen Ameen
2026-10-29 05:20:29
1
imam feysal 👳 :
allahuma akulipe kher
2026-10-29 11:37:03
0
Fatyma🦋 :
Amiin
2026-10-28 14:57:23
0
bint Sultan🥰💯 :
ameen
2026-10-28 17:35:49
0
vicent Abdumalick :
[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-28 11:59:01
0
Abubakal Cenge :
🥰🥰🥰
2026-10-28 11:54:56
0
Msingida :
🕋🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-28 16:32:52
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.