si mamba ni ya mbulu hapa kwangu wanakula pia huyo mbulu
2026-10-28 18:55:08
9
#Ne💞ima💞h💯❤️👌 :
Acha mm nkule tu ata waiguru nkimuona anataga nayachukua niyaeke vizuri kwa fridge
2026-10-28 19:15:09
10
Ismaah💕💅 :
c ya mamba ni ya goryomwe[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]yamamba nmakumbwa
2026-10-28 14:58:19
3
Muna :
Nkweli haya mayai siyakuku ata test yake iko tofauti mengine niyanyoka😁
2026-10-28 18:42:16
4
Lady Pekee :
ni mburukenge sio mamba alafu ni halal maana mburukenge ni muislam ata yy hufunga siku 40 hali na hanwi mpk ziishe so tuleni tu kma sio halal tungedhurika kaz nkudzimbwita tu nakusongera mbere😅😅😅😅
2026-10-29 10:07:38
0
vero 002 :
ni ukweli me nimeanza kuona akili yangu haipo sawa naeza toka kwa room niendee kitu kwa jikoni nikifika nishasahau
2026-10-29 19:34:16
0
Chelsea🔵 :
kwa kawaida Kenya Hayaliwi hayo....pia kuna mayai yakutengezwa na chemicals,,,nayo yanauzwa kwa Supermarket.
2026-10-29 21:16:51
0
Mwanaisha Chinyavu :
mburu kenge dada sio mamba na pia nihalali analiwa
2026-10-28 18:58:32
2
Aisha Mbike :
Ao Mambasasa wanawatoa wapi sasa
2026-10-29 06:56:16
1
Dedusha :
😂😂😂😂na vyenye nakula mayai 4 kwa siku
2026-10-30 17:09:58
0
francisca Stephen :
yagelikua hayaliwi hatuge pewa lakn kwasabu tunakula na atuja kufa kumaansha yanaliwa acha tule tu