@dstvtanzania: #whattowatch #tiktoktanzania🇹🇿 #juakaliseries #tiktokkenya🇰🇪

DStvTZ
DStvTZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 12:15:00 GMT
163105
14949
393
177

Music

Download

Comments

lucie0617
Lucie🥰🦋❤️ :
Imekuwaje maria tena kwenye mali za profesa
2026-10-28 12:43:43
144
mamuuaj
Mamuu AJ :
hii sio jua kali ni elinino😀😀😀
2026-10-28 12:39:03
389
ummumimoh7
Mrs.salman💕🔐 :
Davis kashaanza tandikwa viatu sio [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 14:37:22
0
gracegodwn
Grace Matata :
Dah bora niliacha kuangalia upuziii huu
2026-10-28 13:01:39
74
cnter__tz
Cnter__Tz :
Kaaah wiyatayadi with this drama aiii
2026-10-28 19:26:30
0
felicityfra
FelicityFra :
Tamthilia Ina siri zisizofunguka Kama movie ya kijasusiiiii😂😂😂😂
2026-10-28 13:27:04
30
yuster284
yuster284 :
Ramata unaalibu hii tamthilia c iishe tu jamn
2026-10-28 12:46:11
18
azda239
it's mimah,🇹🇿❤️🇴🇲🙏💕 :
lamata please Acha na hii movie Toa ingine professa keshamla Maria iweje sasaiv Mali zake ziwe za mama yake maria
2026-10-28 12:55:23
41
emanuelgodf
King of locks :
Why profesa lkn😳😳
2026-10-28 14:01:50
0
cutestarry5
🦋Cutestarry💗 :
😹😹mali gan jaman na emma alimwambia madam simba hela n za wazaz wake🙌🏼🙌🏼🙌🏼lamata nishushe
2026-10-28 14:34:53
6
ms_namie
ms_namie :
Alaf Jua kali inapoelekea itatupanda kichwan😫😂
2026-10-28 12:30:52
15
user5732113551885
amara :
movie iishe tu ona sasa yanaibuka mengine
2026-10-28 13:51:49
6
mariakanyepo
MP.maria :
mali za prof ziwe Tena Mali za mama maria😂😂 lamata unazani me sijaiona hii tamthlia mwanzon et usijichanganye bhana
2026-10-28 13:38:10
7
littlevee188
Little'Vee🍂 :
kwahiyo maria kalala na baba ake 😂😂
2026-10-28 12:44:12
6
buhle1717
buhle💜🦋 :
Heeeeeeeee
2026-10-28 17:56:48
0
baby.cand3
Babycand❣️Mrs Robby❤️🔐 :
Jaman mbna patam au Jua Kali ndo Elnino? Mali za mama Maria Tena
2026-10-28 14:18:30
2
halimanakshi
Halima Nakshi :
kumbe ni Mali za Mama Maria
2026-10-28 12:27:42
7
anaya20232
😘 :
Nilikuwa tuuh nyuma ya Maria Kuna kitu
2026-10-28 12:23:20
6
ms_linee
PAULINE'S CUISINE 🩵🥘🍛 :
Mbona mnaiponda mi naona inanoga
2026-10-28 16:28:57
0
bbydolliciouz_
Lyrics lover 💞 :
Mnatuchanganya mala Mali za mama Maria na Emma je ? Nae si alisema za wazazi wake
2026-10-28 14:27:46
1
mimicakestz
mimicakestz :
Kwamba maria ni mtoto wa prof au kuna partnership ilikuwepo kwa business
2026-10-28 12:43:51
1
felicityfra
FelicityFra :
Utofauti wa tamthilia zetu na za wenzetu hata Kama kuna siri fulani ndani kitu fulani wala hazichukui muda mrefu yaani ep. 1 up to 3 Siri tayar ipo wazi maisha yanaendelea lakini kwetu tangu 2017 mpka 2026 kuna mchanganyiko wa Siri kibao ambazo hazina ufumbuzi… mpka sasa hatumjui Maria ni nani , Anna wala devis na Regina… Diba kapotea Mzima mzima… tamthilia nzuri ila mlolongo umekuwa mrefu sio elewekaa
2026-10-28 13:25:03
1
subira_chubby
subira chubby :
Iyo lini iyo😂
2026-10-28 14:06:20
0
ishaz558
chi💕mami🇹🇿llioni💵 :
Usikute maria na anita baba yao profs
2026-10-28 15:24:39
0
To see more videos from user @dstvtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About