Wenye mamlaka ya kudhibiti majanga ya moto ni kikosi maalum cha Zima Moto Zanzibar na siyo ZeCo.....
2026-10-28 17:37:47
20
spartan.rc :
hemu sogea kwa karibu nione vizuri
2026-10-28 20:54:57
8
Asma beauty saloon😚😍 :
umeme hamupati tena muda wa mwezi poleni
2026-10-28 16:49:08
42
Abdul majid :
Hakuna huduma kwa wateja wajinga kama shirika la umeme
2026-10-28 18:24:46
7
Wahida Amour Juma :
Kamara man kwanini usizime kwamji jamani 😳
2026-10-28 16:45:58
4
Top💰 :
Haya subir tena mpya baada ya miez mi3
2026-10-28 18:11:14
0
no profile :
vp fire mbona hawapo eneo la tukio kulikoni
2026-10-29 15:20:31
1
khairamohd :
jamani camera hazisaidii kitu, cc transformer yetu chukwani ilipoanza tu kuwaka tulisaidia raia kuizima kwa mchanga. hata zeco na fire walipokuja tumeshanusuru athar kubwa kutokea.
2026-10-30 03:44:20
1
smoker :
wap hii kka
2026-10-28 15:25:10
0
brand :
mpaka wambiwe kuna mtu anaiba umeme ndo wanawajibika haraka
2026-10-29 20:28:30
0
hjamir :
wp shghe
2026-10-28 15:36:30
0
suleiman nature :
kupiga Zimamoto 114 ni Bure
2026-10-28 18:15:57
2
SAM :
wakat unanipigia nilikuepo chooni ndoman nimekata cm ila samhan il tunkuj tupo njian
2026-10-28 19:41:55
1
@invisible_man👁 :
APO IKINYESHA MVUA BAS MUMEISHA JAMAN MSHKURUNI MUNGU HAKUKUNYESHA MVUA😭
2026-10-28 18:17:51
2
@.Ayatolah Khamenei 🇮🇷🇮🇷 :
sina wema huwo mita miya siwezi kukaa karibu na izraili mimi😂😂😂
2026-10-30 03:41:18
1
༺ 𒆜Rehan𒆜 ༻ :
114 FIRE
2026-10-29 14:25:07
1
Didah💃🥀 :
Kumbe skuzote linawakag moto mdo mdog nammekaa kimya jomn
2026-10-29 17:16:52
1
Suleiman Abdulmalik :
migomba yangu nilipwee
2026-10-28 21:09:39
1
mamy :
duh
2026-10-28 15:32:59
1
RASHID :
baada ya kuita fire ndio mnachukua mov
2026-10-30 04:45:50
0
moccobhaa :
hem sogea karib sioni vzr😳😂
2026-10-31 03:05:20
0
leila :
114 no ya fire
2026-10-30 07:54:20
0
leila :
114 fire
2026-10-30 07:53:16
0
_.sul3y66 :
Mtumeeeeh😂
2026-10-31 06:44:03
0
To see more videos from user @mwanahamiskai, please go to the Tikwm
homepage.