Ni kweli kabisa binadamu tuna jisahau sana kuhusu Allah
2026-10-29 06:34:28
3
raphy001 :
Saiz Naomba ukae kidogo jaman kila siku unatembea tu Shehe wetu jaman
2026-10-29 03:27:15
1
Ayush :
neema yyoyote tunayopawa tusema Alhamdulillah
2026-10-29 08:11:03
1
Leyla :
wallah kila video yako inafundsh mung atuongoze katik kheri
2026-10-28 12:47:05
2
waziri :
subhanallah
2026-10-28 16:22:35
1
Queen zai :
Wallah kila nikitizama video zako zinanitoaga machoz umekuwa chanzo cha mm kubadilika umekuwa na faida kubwa San kwangu Allah akulinde akupe afay njema uzidi kuwa imara zaidi 🙏
2026-10-28 17:02:57
2
suu :
wallah ntachunga kila ki2 changu
2026-10-28 12:02:22
3
kulthum :
Masha Allah broo
2026-10-28 16:50:39
1
zizah🦋🌸 :
duuuh ya Allah Akbar
2026-10-28 17:22:34
1
Aisha Othuman :
kaka naomba unioe
2026-10-28 14:32:43
1
zaitunzaituna747 :
Allah atustiri kw kila jambo mashaAllah kakangu wazungumza kweli mungu akuzidishie inshaAllah