@bongofive: Miss wetu kiswahili hajui?, Jihan “No no” Hilo ni swali ambalo liliulizwa na Mwandishi wa Habari katika viwanja vya Bunge mkoani Dodoma kwenda Jihan, Miss Grand International baada ya kupongezwa Bungeni kwa kazi nzuri ya kuipeperusha bendera ya Tanzania Kimataifa. Akizungimzia pongezi hizo, Jihan amesema amekoshwa sana na maneno mazuri ya Wabunge na yeye ataendelea kufanya kazi vizuri kwaajili ya Watanzania. İmeandaliwa na @yasiningitu
Bongofive
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 11:56:21 GMT
Music
Download
Comments
fai🦒❣️ :
Kama nimemuona philipo anafanyaje dodoma?😳😳🥺
2026-10-28 12:56:03
38
Ree🌸🤍 :
nmemuona meddy 😂❤️
2026-10-28 13:34:19
14
Samira :
anatabasamu muda wote mwaaaaa🥰
2026-10-28 13:20:23
24
Marie :
Aongeee kiswahili bwana inapendeza
2026-10-28 15:08:01
0
TARIQ💘💘💘 :
nyie mna uhakika jihan ni mtz
2026-10-29 21:46:52
0
Maya🎀 :
2026-10-29 03:52:40
0
Miss Sage Official🍂 :
anh kumbe hii ndo sababu kiddy kanyoa😂
2026-10-28 13:38:18
10
SAFARI COW 🐄 :
Si mtanzania 😂
2026-10-28 12:37:57
0
Tediee💕✨ :
Kwan papa nawat kashaenda kwao 😳
2026-10-28 13:36:45
1
calistisimba✓ :
Kama mtu anataka banner anicheki DM
2026-10-28 14:14:36
0
user8281618476091 :
Mtu ambae haongei kiswahili
2026-10-28 19:25:11
0
GMM :
Baba levo alikuwa wapi?😄😄sijamuona hata kupiga picha tu au hairuhusiwi au kala nyoya
2026-10-29 08:10:01
0
calistisimba✓ :
Kama mtu anataka banner anicheki DM
2026-10-28 14:14:28
0
calistisimba✓ :
Kama mtu anataka banner anicheki DM
2026-10-28 14:14:16
0
Clarity_Accessories :
🥰🥰🥰
2026-10-28 12:52:33
3
Mrs kenzy official :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-28 12:06:09
1
Diamond 💎 yasmine ♥️🌹 :
😁😁😁
2026-10-28 18:13:35
0
Maria :
😁😁😁
2026-10-28 18:18:50
0
paed lilly💫 :
💞
2026-10-29 15:04:58
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.