@target_tourstz: ๐Ÿ“ข AJIRA 470 ZA UFUNDI NCHINI UAE โ€“ UNITED ARAB EMIRATES ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช Ofisi ya Waziri Mkuu โ€“ Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, kwa kushirikiana na Target Tours and Labour Supply Limited, inakaribisha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi za ujenzi katika kampuni ya DHCN General Construction L.L.C โ€“ S.P.C, iliyopo Abu Dhabi, UAE. NAFASI ZA KAZI ZINAZOPATIKANA 1. Painter (Mchoraji) โ€“ Nafasi 30 2. Steel Fixer (Fundi wa Chuma) โ€“ Nafasi 50 3. Carpenter (Seremala) โ€“ Nafasi 50 4. Pipe Fitter (Fundi wa Mabomba) โ€“ Nafasi 80 5. Helper (Msaidizi wa Kazi) โ€“ Nafasi 120 6. Scaffolder (Fundi wa Majukwaa ya Ujenzi) โ€“ Nafasi 80 7. Welder (Fundi wa Kuchomelea) โ€“ Nafasi 60 Jumla: Nafasi 470 ๐Ÿ“ Mahali pa Kazi: Abu Dhabi, UAE ๐Ÿ“„ Mkataba: Miaka 2, unaoweza kuongezwa ๐Ÿ‘จ Jinsia: Wanaume ๐ŸŽ‚ Umri: Miaka 21โ€“45 SIFA ZA WAOMBAJI - Awe amemaliza elimu ya msingi au sekondari. - Awe na uzoefu wa angalau mwaka 1 katika fani husika ya ufundi. - Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiingereza. - Awe mwanaume mwenye umri wa miaka 21 hadi 45. MANUFAA NA GHARAMA ZITAKAZOLIPWA NA MWAAJIRI - Gharama za visa. - Matibabu katika kipindi cha ajira. - Tiketi ya ndege ya kurudi baada ya kukamilisha mkataba wa miaka miwili. - Malazi na chakula katika kipindi cha mkataba. - Usafiri kati ya makazi na eneo la kazi. - Mshahara kwa mujibu wa sheria za UAE. JINSI YA KUOMBA KAZI Hatua ya 1: Tuma CV yako kupitia mojawapo ya njia hizi: ๐ŸŒ Tovuti: https://www.targettours.co.tz ๐Ÿ“ง Email: [email protected] Hatua ya 2: Jisajili pia kupitia Kazi Portal: ๐Ÿ”— https://jobs.kazi.go.tz MUHIMU: TAREHE ZA MAOMBI NA USAILI ๐Ÿ“… Kipindi cha maombi: 27 Oktoba โ€“ 03 Novemba 2026 ๐Ÿ“… Tarehe za usaili: 09, 10 na 11 Novemba 2026 ๐Ÿ“ Eneo la usaili: VETA, Dar es Salaam MAWASILIANO ๐Ÿ“ฑ +255 766 712 222 ๐Ÿ“ฑ +255 781 801 818 ๐Ÿ“ฑ +255 781 801 817 ๐Ÿ“„ KUMBUKA: ATS CV NI MUHIMU! Andaa CV inayoonyesha fani yako ya ufundi, uzoefu wa kazi na ujuzi unaohitajika. โš ๏ธ TAHADHARI: Hakikisha unathibitisha taarifa za ajira na taratibu rasmi kabla ya kutuma nyaraka zako. Usilipe fedha kwa mtu binafsi ili kupata kazi au kuitwa kwenye usaili. ๐Ÿ“ข AJIRA PLATFORM โ€“ Fursa za Ajira Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Target Tours & Labour Supply
Target Tours & Labour Supply
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 11:59:48 GMT
3933
72
4
7

Music

Download

Comments

young.boy.j.star288
Young boy j-star288 :
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ waleteeeee waone wenyewe
2026-10-28 17:22:06
0
mo_billionaire
Bลฤ„ฤฤถ qnฤ ลคฤ…ลล ๐Ÿฆ… :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃwale wa boda boda mbona hamukuwapeleka mkala pesa za watu tuuu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†ila target ata siwezi kuwasahau aseee๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œukijichanganya kwa hawa watu aloo mmmh
2026-10-28 17:46:21
0
samwel.jaluo
Samwel Jaluo :
Utaratibu upoje boss
2026-10-28 14:41:40
0
To see more videos from user @target_tourstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About