Ebu nipee number ya Kioko aniambie alienda wapi ata mimi niende!
2026-10-28 16:30:31
16
nancywam :
ama wewe ndiye huyo soldier?
2026-10-28 17:31:10
15
S.M.M💫 :
kamba no joke! proudly kamba
2026-10-28 18:08:53
12
alaminsocratesmcp :
Zile chuma ni D12, gorofa inajengwa na D20, D24
2026-10-28 18:42:47
10
budspencer :
enyewe hapo Iko sawa, wapi hii kioko basi, we need him , there are soo many issues which needs to be handled ki kiokosh joh
2026-10-28 17:26:13
10
MARYANN 💕 :
inakaaa ukweli lakn ni uongo😂😂
2026-10-28 18:40:18
12
Keziah🦋🌹. :
uncle yangu anaitwa kioko na namjua Kwa revenge anaeza Fanya hivyo but Hana ploti Eastleigh
2026-10-28 18:39:52
13
Black power :
Wakamba are Good people. they construct Well
2026-10-28 16:12:05
12
kfm@saisay :
bro mimi niko sure hii oath inakulangwa na mps maraisi na wanasiasa wengine ya bibilia ingekua hii yetu ya kikamba hungeona wafisadi hii kenya
2026-10-28 18:13:11
16
Priscilla :
ilienda kama controlled demolition. niliwonder how
2026-10-28 17:24:19
10
Gloria💕 :
kioko aliturepresent vizuri sana, lesson learned,, though I'm not happy for the people trapped there
2026-10-28 18:05:33
15
Chloro :
uongo
2026-10-28 15:58:45
5
kioko :
sisi team kioko
2026-10-28 17:59:48
6
HON Benados #BM :
hii inakaa ukweli
2026-10-28 15:21:22
10
Anab :
niukweli kuna mtu aliwekea kuku zangu 30 sumu sahii [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] acha ni siseme hapa
2026-10-28 20:54:44
0
Elims :
Wewe unajua nafanya kazi ukambani 🤣🤣🤣. Vile hiyo nyumba iliketi chini, ni kama naamini hii story
2026-10-28 19:11:05
3
perictas wahito :
mkamba ni mnoma😂kwetu home kuna church ya Aipcea ilijengwa na mkamba ikabaki tu mabati then wakakataa kumlipa,jamaa aliwaambia mtanitafuta na akarudi kwao😂😂guess what,walikua wanaeka mabati kesho yake yote chini,miaka kama ishirini ndio wakaamua kuenda kumtafuta
2026-10-28 22:06:53
4
MummyBakes :
nitaftieni number ya Kioko aniambie ujanja kuna mtu amenisunbua sana
2026-10-28 19:34:13
2
Mambaa Logistics Company Ltd. :
same situation .hapa machakos ...kamau hajaamini vitu anaona floor sit imeteremka ikabaki ..hapa juu ...jamaa amesema hataki mambo ya wakamba tena[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 18:43:15
4
kitui finnest 012 :
my friend umetwambia hiyo story vizuri sana my friend
2026-10-28 17:49:05
4
To see more videos from user @dmk_media_group, please go to the Tikwm
homepage.