nilikuw naomba mungu tupewe alie tukosesha kombe tumempata😁😁
2026-10-28 13:14:17
115
MD SEVEN7 :
this is African this is Simba nguvu moja 🦁
2026-10-28 12:39:21
82
John gm :
group letu sio jepesi ni gumu sana ila huyo alokataa kucheza dar es salaam kwenye final safari hii atafute sababu nyingine maana tuna mkakati nae na huyo aliyetukosesha kwenda nusu final kule south kwa goli la offside akatutoa kwa penalty nae tuna kaz nae afu huyo bwana mdogo apo hatumjui vzuri ila vyovyote atakavyokuja tutaimba nae mpk aache point zote 6 au 4
2026-10-28 13:30:41
44
Neemawin :
Kilichobaki ni kumwomba Mungu atusimamie. Zinabondwaa tuu😂
2026-10-28 13:31:04
25
Bob London :
Simba team yangu naomba tusilewe sifa za hawa wachambuzi wa mpira bongo coz najua aya mashindano sio mepesi kiivyo kama wao wanavyosema sie tupo kundi jepesi apana naomba tuchezee Kila mechi kwetu kama fainali mpk tutimize ahadi ya club kibeba ubingwa au kucheza fainali msimu huu.
2026-10-28 13:24:51
7
catheren14 :
Mungu atusimaie tutoboe simba
2026-10-28 13:01:35
16
Brazilian boy :
inaanza kucheza ln
2026-10-28 13:15:37
4
🤴kid wiz😎 :
TULIKUA TUNAWATAKA SANA HAWA 🔥
2026-10-28 13:28:18
8
shaaban jumbe :
mm simba lkn rs bekane ananitisha kidogo
2026-10-28 14:39:40
0
hussein hamis :
orlando and simba robo berkane out
2026-10-28 13:16:11
3
DJ CLAUDY CLUB KING 🎧 :
ukisikia Simba namanisha mnyama wanasimba weka like hapa❤️
2026-10-28 14:13:31
1
isakamadele :
hamna wa moto brkane ume kutana nae orlondo ume kutana nae wa moto yupi tuna toboa makundi vzr tu
2026-10-28 13:01:17
3
gchans :
time ya Tanzania kuchukua ubingwa
2026-10-28 13:11:19
3
Miss Homie :
Simbaaaaaa mungu atutangulie huu mwaka ni wetu ameni