@azam..sports: Young Africans sports club yapangwa group B | CAF Champions League | 2026/2027. #yangasc #CAFChampionsLeague #cafchampionsleague #CAF #azamTV

Azam Sports HD
Azam Sports HD
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 12:34:25 GMT
90879
5090
34
43

Music

Download

Comments

zai_og26
user6485635944490 :
Yani yanga ata wangepangwa na simba Bado wangeumia vbaya sana[Tears of joy][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-28 20:14:20
0
madmanfx
🅑🅘🅛🅛🅘🅞🅝🅐🅘🅡🅔 🅚🅘🅓 :
Kashindwa kujizuia kabisa Sasa unataka kucheza na nani
2026-10-28 13:08:16
26
foxpapey
Diana🤍💙 :
Hali ni mbaya wakuu mtuombeeee
2026-10-28 14:18:15
5
nookman00
nookman00 :
kwani mbona wamechokaa
2026-10-28 12:45:50
13
saddhbrand1
sadd'h..01🫵 :
YOUNG AFRICA SC BINGWA
2026-10-28 14:44:42
8
kaka.tundu
Kaka 😎😎 :
Yanga ni kiswahili halali maana kingereza ni Young😂😂
2026-10-28 13:22:17
6
aboyjimmy
Abooy :
kushaa [Tears of joy]
2026-10-28 13:45:17
1
user3293711826959
user3293711826959 :
Kashindwa kujizuia🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-28 14:35:19
1
lawis_za_great
lawis :
uyo jamaa mbona anasikitika
2026-10-28 15:33:36
1
bigmaxtz
bigmaxtz backup :
ukitaka kuwa bingwa lazima uwapasue mabingwa,,,akivuka hapo yeye ni bingwa,,,watampasua vibaya
2026-10-28 14:46:36
2
misshomie_
Miss Homie :
😂😂😂Ila huyu coach jaman ameshidwa kuvumilia anashusha bland ya yanga bwana 😂
2026-10-28 12:38:02
1
ngaddpdem12
SAFARI :
Kama hawataki hilo bas tuwape lakwetu 😂😂😂😂😂...au tuwape la azam😂
2026-10-28 13:35:01
2
generose146
Gene :
hakuna njia ya mafanikio rahisi ,
2026-10-28 15:16:10
0
ibraahseleman2
dullahsele :
Bado amjasema
2026-10-28 15:12:31
1
cottonpamba_
cotton pamba_ :
mlifikiri huku wako kina zalan fc eenh mtajua
2026-10-28 13:19:39
0
mosesmasame495
moses :
ubingwa tunao nikujituma tu
2026-10-28 17:58:39
0
user8551510439528
Hadahayo :
kiongozi wetu ametumia akili kubwa🤣
2026-10-28 14:14:40
0
brown.diouffans
AFRICAN TALENT 🌍💫 :
mama yangu wew🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-28 13:18:37
0
elickswanda
cravenraphael :
i Love you yangs🥰🥰🥰🥰
2026-10-28 14:48:59
0
harleyquiin77
Empress👑Aira🌬 :
ila yanga mnapendelewa...au tubadilishane😅😅
2026-10-28 15:51:43
0
dj.claudy.bacup
DJ CLAUDY CLUB KING 🎧 :
anasikitika maskni anajua tu apo kunamambo ayo ✌️
2026-10-28 14:44:42
0
lay.g198
LAY G@ :
mbna kajikatia tamaa mapema wakuu😁😁
2026-10-28 17:13:18
0
maariana097
Edna Aple :
sasa hiyo anasikitika nn😂
2026-10-28 19:01:09
0
rahiimu.mohamedy
Raheem Jr ✌️ 🔥 ✨ :
Mbn wanapenda kutupanga na Warab hawa🥺
2026-10-28 19:16:30
0
saiguran..i..mole
SAIGURAN .I. MOLELL :
[Like][Like][Like]
2026-10-28 13:43:43
0
To see more videos from user @azam..sports, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About