@radiokwizerafm: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, amesema vijana ambao hawajaoa wasubiri miss world mwaka 2027 itakayofanyika Tanzania. Aidha amesema ushindi wa Jiani umeipa Tanzania heshima kubwa na kuunganisha Waafrika katika kuunga mkono mafanikio. #radiokwizera #2026aminia

Radio Kwizera
Radio Kwizera
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 12:36:34 GMT
5624
188
3
10

Music

Download

Comments

shukuru4312
shukuru :
hao ndo wabunge wenu acheki hoja zao
2026-10-28 17:29:08
0
john.ngussa66
john ngussa :
🥰🥰🥰
2026-10-28 12:49:09
0
mikaelithomasi
mikaeli thomasi :
🤣🤣
2026-10-28 14:42:28
0
To see more videos from user @radiokwizerafm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About