@gee.lazaro: #swahilitiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #foryoupage #viral

𝓑𝓵𝓮𝓼𝓼𝓮𝓭 𝓖𝓮𝓮
𝓑𝓵𝓮𝓼𝓼𝓮𝓭 𝓖𝓮𝓮
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 13:00:44 GMT
34062
1556
205
168

Music

Download

Comments

ulendo.jo
Ulendo Jo :
Kamwe mchezaji asijione kuwa yeye ni mkubwa kuliko timu… awe na nidhamu hata kama ni kweli ana mchango mkubwa kwenye timu
2026-10-30 11:02:33
35
its_nene95
its_nene95 :
uwiiiii code matata[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-30 18:21:15
0
ceo..11
TOO LATE🤞 :
kama mchezaji wako ana kiwango Bora hakikisha una boresha mkataba wake💪
2026-10-30 06:17:28
20
ima.jr0
Ima Jr.🔨🔨⏰ :
Alone But Okay 🚶💪
2026-10-29 19:30:02
1
newfeisha
newfeisha🦋🪷 :
wasisitizie tena kumuheshimu mchezaji aliebaki hata club iliposhuka DARAJA😎😎
2026-10-29 17:22:37
21
joasjovith1005
𝗝𝗼𝗮𝘀jovith :
Mpe mazoezi ya kutosha mchezaji wako, uache kuona timu pinzani ina mchezaji mwenye kiwango kuliko cha mchezaji wako😂
2026-10-29 09:52:53
21
wolfcaptain22
captain wolf :
kwenye timu hakikisha wachezaji wanatii kocha, asiwepo mchezaji star zaidi ya timu
2026-10-29 09:40:00
13
rlin659
rlin🌹🌹 :
Ukipat mchezaj mzuri jitahid usirud kwa x factor yatakukuta ya man u na Rashford
2026-10-28 20:33:12
10
kidafro
Hopekid (rare_tronix)🫥 :
Kama hauna uhakika na mchezaji usimpe mkataba atakutesa
2026-10-28 19:33:02
12
mm.classic.mart
M&M CLASSIC MART :
ningekuwa naelewa hivi shule basi ningekuwa mbali😂😂😂
2026-10-28 16:17:52
7
shak_04jr
shak_04jr🫀 :
mchezaji asiwe anacheza na mashabiki
2026-10-30 11:57:57
2
_.jilulu
its_him. :
Don't fall in love with a loan player
2026-10-30 05:13:31
0
bennychuma_6
Benny_Chuma :
Hakikisha Kila Mchezaji unaemssajili awe na uwezo wa kukaba na awe na composure ya kutosha sio akipresiwa kidgo analoose ball
2026-10-30 11:54:22
2
mashalajr_
Mashalla :
Hakikisha Timu yako sio sehemu ya wachezaji wazee kustaafia..Jitahidi kusort wachezaji wadogo kutoka kwenye Academy watakusaidia baadae
2026-10-30 06:33:54
1
mungai2311
€Ŕ.santos🦅 :
ukipata mchezaj wa uhakika mlipe vizur na bonus nying ili wasivunje mkataba wake
2026-10-28 17:20:16
6
fave_liah_
Lia_Nah🤍🍃 :
Na tumeelewa izo code zenu 😂
2026-10-30 15:35:18
0
kim.de90
Kim de :
Na scout bora ndo itakufanya upate mchezaji anaefit kwenye mfumo wa timu yak ✌️
2026-10-28 17:54:40
6
khaan708
🅺🅷🅰🅽👑👑 :
hakikisha player umeingiza ni mkali kuliko uliyetowa
2026-10-30 13:17:52
0
stevetygatz27
Stevetyga :
hakikisha star wa team hachezi sana game za kati kati ya week ili kwenye big match za wikiend awe fit atoe performance ya 10/10 😅😅😅
2026-10-29 16:32:49
0
issatyoba4
Black word :
hakikisha mchezaji wako ana baki kwenye nafas yake ili kucheza vzr 🤏😎
2026-10-30 07:51:56
0
kingsley_118
Kingsley👑👑 :
siyo kila mchezaji anafaa kupewa kitambaa cha ukaptain
2026-10-30 08:13:23
0
rdayner
rdayner :
Na wachezaji inabidi wawe na akiba ya wawekezaje just incase mwekezaji akasajiri mchezaji mwingine 😒😒
2026-10-28 16:23:46
3
juicewrldinviciblefan
JuiceWrld Invicible Fan :
Hakikisha mchezaji wako anahudhuria mazoez kila siku asije akashuka kiwango📌
2026-10-30 10:31:20
2
poison.nguly
POISON NGULY 🤘🎮coolboy😎🥶 :
lakini kuna mda super sub zinasaidia sana wazee🔥
2026-10-30 12:26:26
1
morgan_mocco
Morgan mocco :
Mchezaji hawezi kuwa kubwa kuliko klabu
2026-10-30 06:30:21
2
To see more videos from user @gee.lazaro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About