mwezi sasa no call,no sms,nataman nimtfte ila nahis nitajidhalilisha ila nimemmis sana
2026-10-30 08:09:02
4
Atlasmobile📱💻 :
Nimeachwa na imekuwa mbaya sana
2026-10-29 01:37:45
5
mercy :
inauma bro
2026-10-30 08:53:52
0
dorce$2 :
bro nilukua nafatilia san vidio zako sikuiz nimekua sugu
2026-10-28 14:39:58
12
amida the cute🤪 :
kaka inauma sana me kwakwel me stak tena mapenz
2026-10-30 22:09:21
1
Dandoz :
sijamaliza matanga nna msiba mzito sana🤔
2026-10-29 22:17:41
1
joyce samwel :
yan kwa sasa neno mahusiano sitki at kusikia
2026-10-29 14:59:15
3
safwa girl :
hata siamini nimeachika tena mbaya zaidi kaoa
2026-10-28 19:10:04
6
Sabra Rashid :
mi nimeachwa na akaowa mwanamke mwengine nikaumia sana nimekaa mda kizoea hali hio nimemov on sasaivi yeye ndo namuona ananihangaikia kunitafuta ila mimi tayari mayoni mwangu hayumo tena na ananiona mimi ndo namtesa eti
2026-10-29 06:33:12
2
MAA KIDOTY 😘😘💕 :
Bora kuachwa kuliko kuoa bila hata hamjagombanaa nae tena anaoa rafiki yangu we hiyo pain hatar💔💔💔💔
2026-10-29 16:51:14
1
hafsah🍇 :
mimi kaowa lakini bado anasema ananipenda sasa unanipaushauli gn bro
2026-10-29 15:26:25
0
magy faidah :
nliambia ivy na sikujua kaa ntapata mshauli ubarikiwe kaka
2026-10-30 09:13:25
3
Gifts price ♥️❣️💋 :
hahahahah jamani ivi inakuaje ukikutana na pigo Ili lazima ukutane na Aya mambo kwa Nini eti hahhahaah na jiuliza wanajuaje haahja🤣☺️🤣🤣
2026-10-29 07:27:46
0
David Masenga :
umejuaje?
2026-10-28 15:27:28
2
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm
homepage.