@michezo_online: Simba wamekutana na kundi rahisi, wanaweza kutoboa kama watajipanga vizuri..kundi la Simba liko hivi RS Berkane Simba Orlando pirets Colombe Sportive Hizi timu mbili, Simba amewahi kukutana nazo na akashinda kasoro Colombe Sportive vita nyingine hii hapa kisasikitalipwa nakilagoti litapigwa😂😂 #TotalEnergiesCAFCL #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibartiktok #yanga

michezo_online_tz
michezo_online_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 13:11:41 GMT
109195
4697
45
49

Music

Download

Comments

ibrahimabdallah10
shanta🎧 :
kund jepes ni la yanga wote wale hakuna team yakutisha pale kam simba angekuwa kwenye kundi la yanga angemaliza kinara pale ila hili kundi simba alilopo mhh🙌 ni gumu kupita ugum wenyew
2026-10-28 13:48:53
16
giga32065
Giga :
tuna kisass nae
2026-10-28 17:05:36
0
ahmadyusuph788
Ahmad yusuph :
daaah nilikuw nawatafut kixenge haoo jamaaa wamejileta eee kwisha
2026-10-28 15:14:57
6
abigael7804
Abby :
Kisasi, kisasi
2026-10-28 14:19:05
4
kifundojr2
Kifundojr :
Tatizo tuna Doumbia
2026-10-28 18:33:56
1
user8120335121682pasc
pascal gode :
huyo orland unamuonaj
2026-10-28 13:46:07
3
andrewmbita455
Andrew mbita :
Mechi ilipangwa hiii una red card tukafunga wakakataa
2026-10-28 16:45:28
1
neyshaloon
Sharon :
Tuna shida na nyie
2026-10-28 17:13:57
0
feisalsaibari
Feisal Saibari 3️⃣4️⃣ :
watu wa Simba bhana hao ni BERKANE sio wale mliowapiga 9
2026-10-28 17:26:15
0
waridy401
šúľë :
Ila sio kwa simba sports club hiii ssaaa yangu macho 2
2026-10-28 15:28:05
0
login_334
Melech 🥷 :
huyo jamaa camara wakamuuza tu kwa sababu ya fainali ya afcon ila alikua balaa kati pale
2026-10-28 15:48:47
0
mr_marioh
marigraphics :
huyobeki aliyechoma alikuwag naniii
2026-10-28 18:52:59
0
_philmey
ice bar :
2026-10-28 13:43:29
1
user4839049108638m
Chidy Simba 14 :
hiii niya kisasi
2026-10-28 18:25:39
0
user5230194253232
Daizo rg :
malipo ni hpa hapa dunianii kazi wanayo
2026-10-28 17:52:48
0
user2561487806698
moses masoi melubo :
aki simba tusipangiwe 2 hawa ni kisasi
2026-10-28 14:39:17
0
ally.boy368
real bumbuli :
hii lazima walipe
2026-10-28 16:29:16
0
user5871807487567
kenny j6 :
namm nataman tummutoe ety
2026-10-28 15:29:16
0
realest_odilo
Odilo Mathew :
Kisasi tutalipa na ni haki
2026-10-28 14:46:58
0
steven.msadama4
Steven Msadama :
Camara mnamkumbuka😁
2026-10-28 14:56:21
0
happykimario227
Happy Kimario :
ivi ni kasali kipa afazali mda wa kumkumbuka umewadia
2026-10-28 14:59:49
0
binresamustafa0
Binresamustafa :
wapeni moyo tu kundi jepesi mara gumu mtawaponza
2026-10-28 14:52:22
0
user3330267250302
fadhila :
iyo lin
2026-10-28 18:09:45
0
user156787581847
SELEMANI ABDELEHMANI MTEPE :
hahahhahahahahaha usiwakumbushe jamani watauwawa bure
2026-10-28 15:07:26
0
user7849954433681
user7849954433681 :
tunashukulu t kwa kutupanga nae alietutoa😊😊😊😊
2026-10-28 15:08:35
2
To see more videos from user @michezo_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About