@jukwaa.la.maarifa: Mtume Muhammad (S.A.W) ameeleza kuwa mwanamke huolewa kwa sababu nne, ikiwemo nasabu nzuri, mali, uzuri na dini. Amesisitiza kuwa pamoja na mambo hayo kuwa na umuhimu, dini inapaswa kupewa kipaumbele, kwani mali, uzuri na jina havidumu, lakini dini ndiyo msingi wa maisha ya ndoa yenye kudumu.

JUKWAA  LA MAARIFA🕌
JUKWAA LA MAARIFA🕌
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 13:38:23 GMT
426
40
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About