@kevmaina5: INGREDIENTS: Chicken drumsticks 1kg Maziwa Mala 200ml Plain yoghurt(small for marinating the chicken) Onions 5 large Tomatoes 3 Hoho 1 1/2 tea spoon each of these Spices- Paprika Biryani masala or pilau masala Curry powder Mixed spice Dhania 3 bunch Food color Rice
Kev Maina
Region: KE
Wednesday 28 October 2026 13:45:32 GMT
Music
Download
Comments
Kūi_wangui :
na Leo ni Mimi wa kwanza, uko na brother anajua kupika?
2026-10-28 13:49:47
23
Gloria :
must be yummy😋
2026-10-28 15:04:36
1
🦋💍latty💍💕 :
huyu ndie anafaa kunioa sasa
2026-11-07 12:20:26
1
Mercie_ting :
Adi nikamwaga
2026-10-30 07:01:27
2
Lawrence Mengi :
wow! kumbe kuna wanaume wanajua kupika chakula kizuri hivi. Chakula hiki kimenifanya mate yangu yananidodoka jamani.
2026-10-28 14:08:52
5
purie :
Unaturoga na biriyani
2026-10-28 15:26:59
1
lisa :
delicious
2026-10-28 14:00:20
1
rexella2000 :
umeturoga kweli
2026-10-30 12:09:41
2
bettyokelele :
which food color are you adding in the rice please
2026-10-29 14:49:22
1
💫 :
Invite me to eat your food
2026-10-28 16:26:12
1
Ruthstar⭐ :
hapo mwisho ni tui la nazi ama ni yoghurt?
2026-11-06 15:31:45
0
Mariposa Dorada :
hii hoteli Iko where?
2026-10-29 12:46:35
0
Terry :
tusharogeka😅
2026-10-29 16:54:33
0
Ess🥰 nyarasembo❤️🔥💃 :
Watching on an empty stomach🤣🤣🍲
2026-10-31 11:18:30
0
Cissie♥️ :
salivating 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-01 04:24:48
0
Lilian 💞💫 :
yummyy
2026-11-04 19:14:09
0
Healing with Mimi :
Pin lokesheni jamani
2026-10-31 16:31:11
0
blessed Jane❣️❣️ :
Nilisema kazi ya kuosha vyombo ni yangu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 14:03:40
1
kate :
hii nayo lazima nijaribu[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-29 11:07:30
0
Brunoh :
maina❎abduli ✅
2026-10-28 14:02:47
2
Cynthiah :
Huko sure wewe Ni maina from murima🤔🤔ushanikoroga
2026-10-30 23:43:37
0
Dayc ❤️❤️ :
nataka nimroge ata kwenye jua Kali hua anavaa sweater 😂
2026-10-28 15:52:41
0
🥰Mrs Becka🥰 :
👌👌👌
2026-11-06 15:55:56
0
To see more videos from user @kevmaina5, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.