@limitless.media.k0: Btw Mombasa Road ukileta akili ya driving school ati "Mimi ndio niko right".utakufa vibaya …. #v#viralvideov#viraltiktokv#videot#tiktokindiat#tiktok#kenyantiktokers#ohanglamusic#politics#maandamano#kenyancomedy🇰🇪
Kwanza ukidrive usiku usitumie akili ya driving school
2026-10-28 16:27:54
132
john baptist :
That road inafaa ifanywe dualing all the way to Voi
2026-10-28 14:29:00
79
mwibrania 254 :
😂😂😅😅😅mambo ya driving school Mombasa road mm situmiangii ni mm na macho sharply 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-28 19:09:44
0
antidote😶🌫️ :
mombasa road ndio barabara rahisi kuendeshea gari..bora usieke kiburi
2026-10-28 14:24:24
77
It's Mathenge :
Mombasa road haitakangi mchezo.
kwanza hizo Buses
2026-10-28 14:04:35
52
ngosoless :
true that bro 💯
2026-10-28 19:51:06
0
MUNENE MUNENE... :
ATI Niko kwa line yangu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 19:33:02
0
Duke nayak2 :
Mombasa road ni ya heavy trucks and buses but watu wa my car😂😂
2026-10-28 21:20:28
0
Gift Electricals 🇰🇪 :
Na sijui mwenye alipewa tenda ya kujenga part ya from Mtito to voi...sijui alikua na machungu aje..hii road huwa bumpy mbaya.
2026-10-28 16:24:07
17
chrisly Adala :
true bro
2026-10-28 16:57:01
0
Randyboy :
msa road isnt for the weak🤔
2026-10-28 21:46:50
0
stepper_01 :
kwanza scania huwa ikisha overtake iwezi rudi nyuma
2026-10-28 15:54:24
8
Yusuf Ali (Pprofesor) :
Wacha mmbasa road... Kuna jogoo road Buda....
2026-10-28 20:21:48
3
The Analyst :
Kwanza bus za western na fuel tankers wee jua ni blunder.... Ondokea
2026-10-28 15:10:51
10
Jean (KE) :
Buses kazi yao ni kudhulumu wenzao barabarani, Lorry drivers nao they badly entertain road rage as a sport, afadhali aangushe gari lakini asikupishe😂... Huko kwa shuttle they play speed games with peoples lives..
2026-10-28 18:21:08
1
£×¶łìçïť ~ kíð :
Apo nayo bila experience huezi toboa
2026-10-28 20:24:13
1
farida 01 Bii :
nimekua nikitembea na izo truck kuenda home,guys ao madere wa truck wakiovertake na ikue na gari ndogo inakam,utasikia toa haka kadudu kwa Barabara,ikuwe ni bus awezi utasikia ao ni watu 60 siwezi toka.tugari tudongo ndio wanadharau
2026-10-28 17:31:58
4
Roxy L-ion :
nimerealize watu wa bus mostly waki overtake alafu waone ni gari ndogo ama pikipiki hawaezi kutokea niwewe ukae kando kwanza ukiflashiwa mataa punguza speed ama ukae kando
2026-10-28 15:51:54
3
luke :
umeenda mbali... jogoo road kila mtu hutumiwa sharia zake 😀😀😀
2026-10-28 19:29:12
0
⛳𝐆𝐨𝐝𝐰𝐢𝐧𝐁𝐞𝐭𝐭🇬🇧 :
💯
2026-10-28 14:05:46
2
Japheth Otundo :
Defensive Driving Skill
2026-10-28 18:01:04
2
"Mr "пуллманн :
na Bado Nakuru highway
2026-10-28 17:12:24
1
prezzvicky :
mimi nilibeba jamaa ametoka driving school ,kwa round about ananiambia nisimame ni give way na manyanga iko nyuma yangu,iyo safari jamaa alikua amaenda akipiga nduru ati naendesha vibaya
2026-10-28 18:07:03
2
Hon. Ngumbau Mutiso :
A very good advice brother. waambie
2026-10-28 19:30:53
1
456 :
usiku to be specific 🙌🏿🤣
2026-10-28 16:55:04
0
To see more videos from user @limitless.media.k0, please go to the Tikwm
homepage.