😂😂😂😂😁😁😁😁😅😅😅😅😅😅 Mi ndio maana niliamua kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu, ndugu zangu wakaniambia tunakutenga, umetusalitiiiii, nikawaambia nyie ni wachache nitengeni dunia nzima niwe na Yesu tu, leo mmoja mmoja anakuja kuungana Nami heheheheheheeeeeeeee
2026-10-28 14:49:19
29
star64gmail.com :
waislam wenzangu takbir
2026-11-18 11:20:11
1
suzana mondi :
Huo ndo ukweli😁😁😁
2026-10-28 17:06:10
3
Fadhil Murid :
oke ila sio kwamba waislam hawamo katika ujuzi mambo ya kidunia mfano alkhawaridhim hilijina huyu ndie mtualie vumbua masuala ya hisabu mimi sijasoma hasabaati ila kunahisabu huyu kavumbua nandio simuzetu zinatumia algoridhim hio hivyo tu je ndaniyakurani hayakuelezwa mambo yaanga? ambayo hadinasa walifanyia utafiti? mfano surat yasin imelielezea jua kua nalo linaogelea katikanjiazake nasa siwanakubali? kaitazame sura alrahman aya zamwanzomwanzo inataja kutokuingiliana kwabahari mbili yani katikati kuna kizuwizi chakutokuchanganyika lakini pia kuran sura fatwir inaeleza kua kunabahari yamaji chumvi na maji matamu nazote kunapatikana nyama tamu na mapambo tunayo vaa kwahio sisi tunategemeana na kinacho fanya waislamu kuanyuma migomvi yetusisi kwa sisi lakinipia tutazame wasiokua waislam hawazichonganyishimamlaka zakiislamu? nazungumzia wale wenyenguvu nawaislam baadhi kuto thamini elimu yakidunia ndiomaana tuko nyuma wapowalioambiwa skuliharam wakawa na misimamoya kijinga waohawakusoma na wanawaowaka wanyima elimu na katika hao wapo wenye akili kubwa kwahio nataka kusema katika masuala ya elimu ya kidunia tunategemeana ila pengine wasiokuawaislamwametuzidi kwanamnafulani
2026-10-30 01:24:44
1
Tula Alex :
Ustadhi Hassan Jah yaani umeongea ukweli mtupu,ila hawawezi kukuelewa,Yesu akupe mwisho mwema.
2026-11-26 07:14:44
1
Deogratias A Athanas Katabwa :
njoo unywe pepsi
2026-10-28 14:18:54
6
Julius Kisamo :
j yesu alijenga kiwanda huko Jerusalem
2026-10-29 12:38:06
0
it's joyce :
Kristol ni njia ya uzima na wokovu
2026-10-28 16:42:21
7
mjukuu wamimi :
wa kwanza young sayeed kilaza kabisa yule farisayo
2026-10-28 14:26:22
4
tonda ahmad :
si kweli soma historia
2026-10-29 16:20:53
0
Steve :
ukweri ni mkuki hatari YESU NI BWANA
2026-10-29 17:28:02
3
Wings of hope :
Mzee baba ,siku nyengine unaeka namba tukutumie Soda
2026-10-28 19:03:24
3
user8425436138123 :
sasa huu ukweli ni mchungu lakini ndiyo ukweli wenyewe