@mwalimu_ally: #fyp #foryou #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 ili kua bahati mbaya sio makusudi tuwasameh.. It was an unfortunate accident, not intentional; let us forgive them. @Wasafi Media
MWALIMU ALLY MASTORY
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 13:56:30 GMT
Music
Download
Comments
Tozzy panya :
mmmmmmmh[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-28 19:19:12
0
Mohamd Msuya :
form four ni mtoto,its one year before 18
2026-10-28 17:59:01
0
*💫 :
hiyo t-shirt vip
2026-10-28 16:29:55
0
Man h :
kaka mbona unawatetea kimtindo hivi
2026-10-28 15:25:05
20
Remi jacksoni lobert :
wangewahacha tuu wajifunze dunia iwafundishe ..
2026-10-28 15:07:18
12
FALCON💥 TZ. 🇹🇿⛎ :
ulikuepo nao kumbe
2026-10-29 16:48:53
1
mamama :
walipagwa
2026-10-29 15:48:10
1
Suniel Shetty Rahim :
kaka uko sahihi ambao wamemaliza four wanaelewa vibe ukiwa unamaliza
2026-10-28 16:20:02
6
piringu 1203 :
mbona izo video sio moja zipo nyingi na Ni tofauti tofauti kila. aina ya mashule
2026-10-29 09:49:40
2
farry✨ :
hawajafungwa miaka 30 uongo huo
2026-10-29 12:22:47
1
chikawe comics :
kak iwo uongo wakati wanapist wenyewe walikuwa wanajua mpaka wakaiomba msamaha
2026-10-28 16:56:46
1
It's Emmy☠️💀 :
ss kwann wafungwe ss wakati nchi yetu kila mtu ni content creator
2026-10-29 07:59:48
2
world wide45 :
kwa ajili ya 29 oct
2026-10-29 09:06:47
2
user9433973461685 :
wachukulie sheria kali wale michepuko kuharibu familia za watu sio hao watoto bwana
2026-10-28 16:24:17
2
IREM :
huyo alopost amechukuliwa hatua gani?
2026-10-29 01:51:18
1
Emanuel festo :
tutawasubili hivo hivo,me nimemtoroka wife sijafungiwa
2026-10-28 21:52:13
1
Mama Tawhida :
mtihani sana vizazi vyetu
2026-10-28 16:36:50
1
chiddy boy :
we umejuaje au unawatetea
2026-10-28 17:15:51
1
MOHAMED MDOKA :
wabanwe waeleze cm wamepata wap
2026-10-28 16:43:40
1
@$€ki :
ulikuwepo?
2026-10-28 17:31:05
2
Jesca Alphayo :
sasa ulikuwepooooo
2026-10-28 17:33:24
1
erizabeth.c.iraramo :
mwenzet ulkuep
2026-10-28 21:11:22
2
Batkar tz mnyama :
urikuwep
2026-10-28 16:49:06
1
Annamery Raulent :
ila jaman vibe yao mpaka ihusiane na mabwana jaman kwann isiwe shauku ya kuhitim jaman
2026-10-28 20:34:59
1
To see more videos from user @mwalimu_ally, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.