@bongofive: Mtoto wa miaka 3, Nevada Pierre, kutoka Florida, Marekani, apata nafasi ya kwenda Hispania kwa mafunzo ya soka kupitia Jay-Z na kampuni yake ya usimamizi wa michezo, Roc Nation Sports. Nevada aligeuka gumzo duniani baada ya mzozo katika ligi ya soka ya watoto i9 Sports, katika mchezo uliofanyika Martin Luther King Jr. Park, Winter Park ,kufikia hatua ya polisi kuitwa uwanjani, huku kipaji chake kikubwa cha kucheza soka kikizua mjadala mitandaoni. @cathed__

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 14:32:40 GMT
98322
7593
71
156

Music

Download

Comments

jumaketch
jumaketch :
kumbe code niku record
2026-10-29 09:10:24
0
jvntyuikb
J seven :
dah. dogo katoboa ana miaka mitatu. mi nilikuwa nalilia uji tu
2026-10-29 04:16:22
41
djimmu
IMMUDJ :
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
2026-10-28 18:36:48
19
user48857351968197
amina dada :
walidhani wamekutupa shimoni kumbe amekutupa duniani💗
2026-10-29 06:48:45
11
user9700741468816
Jimmy🇹🇿 :
jina lenyewe limekaa kista wa mpira kabisa, NEVADA🔥🔥🔥
2026-10-29 06:23:21
6
denisnyachiadizzo
Black Dizzo :
yan walichofanya ni kumtangaza dunian kma anakipaji na watu wamemuona tuwashukuru kwa kumpga chula teke
2026-10-28 18:22:27
27
james.munyao57
James Munyao :
ata mtoi mwenyewe anashangaa akiitiwa polisi shuali
2026-10-29 06:29:08
3
bayser_83.com
Bayser :
Please we need him at La Masia
2026-10-29 08:09:17
1
mrwhitecar2
Mr white car :
daah lakini kilakitu kinat0kea na sababu je kama ingelikua hil0 tuki0 halijat0e nafasi hii angeliipata??
2026-10-29 07:06:50
2
paul.lukumay1
Paul Lukumay :
Nevada to be TANZANIAN boy
2026-10-29 06:48:25
2
gplustz
gplus+ :
kama dogo anaenda Spain basi ashakuwa barcelona huyo na uzuri ashajichagulia namba 10 yake keep shining nevada
2026-10-29 06:55:33
2
luchorashidi
Lucho Gonzalezy :
tupo mwaka wa Mbele
2026-10-28 20:57:09
2
mustafamatua
mustafamatua :
sema god bless African
2026-10-29 01:06:02
1
magweng4
WALTER 006 :
mungu ni mwema
2026-10-29 05:45:56
1
king.salux.donie
King Salux Donie :
namuona ronadinho mpy🥰🥰🥰 ajae
2026-10-29 04:25:48
1
user35607947153080
user35607947153080 :
kazuri. Kaka nguu. kwawezetu. Kuna poliss. uswahili kwetu. Kuna uchawi. mungu amjalie Kila laher
2026-10-29 05:41:14
1
kenmtuwawatu
kenmtuwawatu :
hii ndo nyota sasa
2026-10-29 05:21:20
1
user1884437184015
mnyily :
wakati wa Mungu
2026-10-28 20:33:40
2
chao27048
Chao :
asante Mungu
2026-10-28 18:53:48
3
said.abdallah327
Said Abdallah :
Saf JAY Z msaidie mtu mweus mwenzako ili kesho heshima izid kuja kwa waafrika
2026-10-28 21:53:50
1
bettymagili
Diana :
kibari kutoka kwa Mwenyezi Mungu.walifikiri chuki zao.zingemuumiza Kumbe Ndio Wanamuinua Acha Mungu.Aitwe Mungi
2026-10-28 19:25:14
1
user8134082606186
user8134082606186 :
roho za binadamu ni shida mung tu atusamehe tatizo nyota
2026-10-29 09:58:20
0
nassor7736
OCTOBER 29 :
kwa kweli MUNGU umuinua mtu kwa njian ya ajabu sana
2026-10-29 07:43:57
0
mfalmechina
d0g0 mkari45 :
yani wamezidi kuumia kwa roho zao mbaya rohozao mbaya imemfanikisha maisha mtoto mungu atazidi kumsimamia mtoto huyo Asante munguuuuu
2026-10-29 08:24:18
0
user5000077480493
MAN TASHII :
beby guy..
2026-10-29 07:04:22
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About