@salum.minya: Mcheki muwakilishi wako wa jimbo hapa. @hiltruda jacob hapo vipi???. Waheshimiwa Wabunge wakishiriki kwenye “Bunge Off Script Challenge” wakati wakiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Oktoba 28.

Salum Minya
Salum Minya
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 14:45:32 GMT
19021
803
32
33

Music

Download

Comments

salum.minya
Salum Minya :
@Hiltruda Jacob
2026-10-28 14:50:04
1
user2971177357817
Zuu :
HIJJA HASSAN HIJJA yuko wapi???
2026-10-30 17:37:57
1
mrp._24
Mr.P :
nilijua tuh 😂😂😂
2026-10-28 23:00:44
3
mainokobbie_17
UTDTRY_A7 :
Kwani baba levo yuko wapo
2026-10-29 12:07:49
0
blackboe47
Blackboe_lyrics💫 :
King msukuma
2026-10-29 09:45:18
4
barck.fm..maasi
BARICK loys tox :
wa longido tujuaneee mbenge wetuuuu
2026-10-29 14:39:10
0
gody.vicent1
Gody Vicent :
👑 msukuma
2026-10-29 11:37:01
1
daviex211
Diarzy211@ :
nmegundua kuna remix nying sana bungen🤣🤣
2026-10-29 09:57:06
2
user3666734331962
donatra🧸💍 :
kuna wabunge wanaweza kuwa hawajui nyimb ya taifa
2026-10-29 07:55:57
1
vertas_farm_sea_products
vertas_farm_sea_products :
Imagine Mbunge Wa Bunge la Tanzania Hajui Wimbo Wa Taifa lake..."Eti Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wangu"
2026-10-29 12:20:44
1
ommy13h
ommy13 :
next nmuone shabiby
2026-10-29 04:50:44
1
nyaku_mo
️Nyaku_Mo :
2026-10-29 11:34:11
0
sanrace.001
@sanrace 001 :
mtanishtua midamida nije nisome comment
2026-10-28 19:36:41
1
_mariaedwin
Classic Aura Collection🌸 :
Hao wanaoimba Tanzania Tanzania ni wanafiki
2026-10-29 08:26:04
7
user6249832mtuwakazi
Busungu makala Nembo ya mtaa :
mh Shabiby shika kipanzaa[Kicheko kimekubaliwa][Kicheko kimekubaliwa][Kicheko kimekubaliwa]
2026-10-29 07:43:17
1
elikhan_19
ELIKHAN :
Mbona baba levo ajaonekana 🤣
2026-10-29 09:47:43
2
lucia.benedict2
Lucia Benedict :
kwani hizi nyimbo walimba wao
2026-10-29 10:58:18
0
official_elishadai
Whizzyberry🇹🇿 :
NIMESIKIA KISAMBAA TANGA JUU🇹🇿🇹🇿
2026-10-29 06:38:10
0
avinusavitus
The boy09 :
Yaan mbunge anaimba mabata madogo mdogo
2026-10-30 06:03:53
1
he_no_cent
he_no_cent :
😂😂😂
2026-10-29 18:24:34
0
To see more videos from user @salum.minya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About