@qiblatein_online_tv: 📺 Video Kamili Ipo YouTube — QIBLATEIN ONLINE TV 🔔 Kwa mawaidha na daawa zaidi: #QiblateinOnlineTV #Mawaidha #Daawa #Quraan #Uislamu #Upendo #Amani #reels, #explore, #trendingnow, #viralFitness: #fitness, #gym, #workout, #walkingforhealthFood: #food, #instafood, #highproteinmeals, #budgetmealsTravel: #travel, #travelgram, #travelphotographyLifestyle: #dayinmylife, #slowliving, #inspiration
QIBLATEIN ONLINE TV
Region: TZ
Wednesday 28 October 2026 14:47:28 GMT
Music
Download
Comments
TURU CLASS :
Hao ni watoto hawajui walitendalo pia ni furaha yaku maliza shule wasameheni bure kiukweli
2026-10-28 16:34:53
26
Ukhuty Minah :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE SWALA
2026-10-28 17:36:51
64
_ochu77 :
issue ishakua serious
2026-10-29 05:50:02
0
mathayo :
kweli sheehee
2026-10-28 17:59:34
0
shibuy :
Angalieni nchi ya Zanzibar ,, mbona hakuna huo ufuska??? ata Tangamyika mikoa ilokuwa haina Masingomadha wengi hakuna huo ufuska,, lipi hamjui au hamuoni?
2026-10-28 16:33:22
5
Hamisi Ponera :
utaratibu wa kuwatenganisha wazazi na watoto mwezi mzima kushinda shule toka jtatu Hadi jpili kuanzia alfajiri Hadi saa tatu usiku. shule ziishie saa nane Kisha warudi nyumbani mapema wakafundishwe maadili ya nyumbani.weekend wabaki nyumbani ili wazazi nao washuhudie mienendo ya watoto wao kinyume na Sasa wazazi hawaoni watoto wao.walimu wamejipandikiza uzalendo wa kubaki na watoto mpaka saa 12 jioni kumbe wanataka michango ya wanafunzi hamna wanachofanya kule
2026-10-29 05:02:06
3
Flora🇹🇿 :
nwalikuwa ni waislam
2026-10-28 22:06:05
1
Mudy :
WALE WASISAMEHEWE IWE FUNZO
2026-10-28 18:31:29
1
Neema Mwambara :
Kama mungu anasamee uchafu wetu mkubwa kwann watoto wasisameewe
2026-10-28 20:59:41
2
Jackson :
kuwa peleka watoto shuleni alafu warudi waje kwenda tena madrasa sio, kwanini shuleni kusiwe na walimu wa dini na vipindi vya dini
2026-10-28 19:24:45
1
Selemani :
watoto wakae shuleni kesi ije kwa wazazi duh
2026-10-29 05:18:10
1
Yassin Saburi :
Naomba kuuliza Shekh hii kazi ya Geust House niharamu?
Kama kazi ya Geust House ni haramu ni jinsi gani sisi wasafiri tutahudumiwa ?
Ebu kidogo Shekh tusaidie kwa hili
2026-10-29 09:24:53
0
Bushoke :
wacho.kisema.ndio wachomanisha na nikweli wengi sijui kama Wana bikra
2026-10-28 17:04:28
3
GINIMBI10 :
shekhe shida nini mbona kama mengine umeongezea
2026-10-28 17:30:24
3
robby :
yani masheikh nao siku hizi
2026-10-28 20:58:24
0
Derry :
Wapo wengi sana sanaaaaaa fuatilieni yaan mpka primary schools and wengi wanaulimbukeni kutoka kwa ndugu zao na majirani
2026-10-29 09:10:16
1
steveni :
kosa lao lipi hapo watu walikuwa na furaha
2026-10-29 11:13:43
1
Bushoke :
kwa Zanzibar hakuna Hilo akama ikitokea inawezekana wakafutwa kabisa kwenye mitihani kifukuzwa kabisa
2026-10-28 17:07:15
0
Magidahh :
ila kuna wababa nao wanaendekeza ujinga kuchukua watoto wadogo wanaacha wake zao wanaume wanaendekeza tamaa baadhi ya wa baba wame jiendekeza vibaya
2026-10-29 03:41:55
2
abdulazizi Jumanne :
Saluti san shekhe
2026-10-28 20:43:49
1
Mwanaidi Baraka :
sawa kabisa
2026-10-29 03:58:47
1
Rajab Mynheer :
Mungu akubariki sheikh
Ndo umeongea kitu cha
Busara saana kuliko viongozi wa
serkali wanajibizana na wtoto
2026-10-29 12:24:23
1
aisha :
musiwasamehe
2026-10-28 21:14:24
1
🍒big mom official 🌹🌹 :
jamn jmn
2026-10-28 18:22:55
1
To see more videos from user @qiblatein_online_tv, please go to the Tikwm
homepage.